Masanyiwa Mabula
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 954
- 983
Mwisho wa siku mnalilia kwenda kwao na misaada. Bakini kwenu.kwani matendo ya waisrael(mashoga) hamuyajui?
Blessing
Sio Israel ya Netanyahu mhuni
Sawa myahudi mweusi lakini ukweli nishakwambiaKenge mwitu nenda kanywe mkojo wa ngamia ndiyo utajua sheitwan wewe muislamu au Israel
Nenda basi Israel ukawasaidie kupigana kama umechukiaSiku nyingine tumia akili na sio m.a.t.a.k.o kufikiri pumbavu kabisa
Wewe hana huo ubavu.Na shekhe Mohamed dubai kawa piga ban wamerekani na walivyokuwa wanajichanua
Hao Iraq kabla hawajamkaribisha mmarekani kwenye Ardhi yao , walikuwa wanachinjana?Hawa watagombea zamu za kuratibu hija, Saudia ipo poa kwa ulinzi madhubuti wa USA.
Wanaingia kichwa kichwa huku wanaona.
Iraq wanachinjana kama kuku na ni waislamu watupu!!!
Waarabu wameingia mtegoni kiulainiiii
Safi sana inabidi na wengine hasa hao walizuiwa kuingia USA na wao kuwafukuza wamarekani wote na kuvunja uhusiano wa kidipolomasia na USA.
Labda kama huwajui kina chemical Ally!!!!Hao Iraq kabla hawajamkaribisha mmarekani kwenye Ardhi yao , walikuwa wanachinjana?
Hizo zote zilikuwa ni propaganda za wamarekani dhidi ya Saddam na Wakurds, jaribu kwenda ndani zaidi kwa kusoma kuhusu historian ya Iraq na wamarekani, na nini kilichowapelekea kuivamia Iraq, halafu ndio uje hapa tubishane, lakini kwa jibu hill ulilonipa hujani convince ku debate na wewe.Labda kama huwajui kina chemical Ally!!!!
angalia kauli zako ndugu usije ukajipalia makaa kwako na hata kwa kizazi chakoHuyo Mungu wa Israeli akapimipwe akili
Hizo zote zilikuwa ni propaganda za wamarekani dhidi ya Saddam na Wakurds, jaribu kwenda ndani zaidi kwa kusoma kuhusu historian ya Iraq na wamarekani, na nini kilichowapelekea kuivamia Iraq, halafu ndio uje hapa tubishane, lakini kwa jibu hill ulilonipa hujani convince ku debate na wewe.
Narudia tena huyo Mungu wa waisraeli akapimwe akili.G
angalia kauli zako ndugu usije ukajipalia makaa kwako na hata kwa kizazi chako
kwa laana
Nadhan hata ww ukapimwe akili maana mungu/allah/GOd hayupoNarudia tena huyo Mungu wa waisraeli akapimwe akili.
Anae anza haonekani, anaemaliza anaonekana.Zifuatazo ni nchi 16 ambazo zimepiga marufuku Raia wa Israel kuingia kwenye nchi hizo tangu miaka ya 1990 .
Algeria
Bangladesh
Brunei
Iran
Iraq
Kuwait
Lebanon
Libya
Malaysia
Oman
Pakistan.
Saudi Arabia
Sudan
Syria
United Arab Emirates
Yemen.
Nchi hizo zimezuia hata mtu yeyote aliyetembelea Israel asiruhusiwe kuingia kwao.
Dunia ipo kimya wala hakuna anayeandamana kuwatetea Waisrael, Leo Trump ametangaza zuio la muda mfupi (siku 90) kwa raia wa nchi saba wasiingie Marekani dunia nzima inatokwa povu.
Ulivyojibu ni zaidi ya zezete, kapuku wewe ujinga ni kujifanya unajua wakati hujui, chutama upewe uhalisi wa mambo acha upunguani wewe, nimeshakupa homework ya kufanya, ifanye ndio urudi hapa, unajiaibisha dogo.Huna lolote!!!
Una maana Iraq haikuivamia Kuwait?
Unadhani palikuwa na sababu za msingi za kumuacha Sadamu aendelee kuwepo madarakani ukizingatia brutal Mentality yake ile?
Box la kura lisingemuondoa asilani. Kipigo tu ndio saizi yake.
Al sahafu alikuwa anatudanganya wakatibwa vita kuwa majeshi ya adui hayajaingia baghdad wakati tunayaona majeshi yakiwa meter chache kutoka ikulu yao!!!
Pambauf kabisa!!!
Kaa ukijua kuwa mimi siku convince tubishane maana utaniambukiza uzezeta fulani wa kikurdi.