john agrey
JF-Expert Member
- Jan 24, 2015
- 1,280
- 2,080
What is so special with Muslim nations.?Kwani what's special with Israel ?
Kwani what's special with Israel ?
BlessingKwani what's special with Israel ?
Kwani what's special with Israel ?
Zifuatazo ni nchi 16 ambazo zimepiga marufuku Raia wa Israel kuingia kwenye nchi hizo tangu miaka ya 1990 .
Algeria
Bangladesh
Brunei
Iran
Iraq
Kuwait
Lebanon
Libya
Malaysia
Oman
Pakistan.
Saudi Arabia
Sudan
Syria
United Arab Emirates
Yemen.
Nchi hizo zimezuia hata mtu yeyote aliyetembelea Israel asiruhusiwe kuingia kwao.
Dunia ipo kimya wala hakuna anayeandamana kuwatetea Waisrael, Leo Trump ametangaza zuio la muda mfupi (siku 90) kwa raia wa nchi saba wasiingie Marekani dunia nzima inatokwa povu.
Usitumie kanuni hiyo.Kwa vile fulani kibaka basi na mimi nikiwa kibaka haina shida.
Au una maana nyingine mleta mada
Hawa watagombea zamu za kuratibu hija, Saudia ipo poa kwa ulinzi madhubuti wa USA.Sasa mwarabu wa dubai kafukuza wamarekani wote kuanzia jana
Usiudharau mtihani maana utakuwa umemdharau aliyekutungia, usifanye hivyo ukatarajia kufaulu huo mtihani.Kuwatetea wana wa Israel ni sawa na kumtetea sheitwannn
Israel atakae ilaani amelaaniwa yeye atakae ibariki amebarikiwa..nachagua baraka ,hata kma hupendi ndio chosen generation...Kuwatetea wana wa Israel ni sawa na kumtetea sheitwannn
Watu wanaochinjana na kujilipua wenyewe unafikiri wana akili timamu hao?... Hivi kweli.unakuwa brainwashed kuwa ukijilipua unaenda kupewa bikira 72 na wewe bila kujiongeza unaenda kujitoa muhanga?
Acha tu trump awapige ban mpaka watakapojielewa.
Una uhakika na usemacho?kwani matendo ya waisrael(mashoga) hamuyajui?
Chosen generation kutoka kwa nani. Wacheni ubabaishaji Mungu achague kizazi cha mashoga na wasagaji?Israel atakae ilaani amelaaniwa yeye atakae ibariki amebarikiwa..nachagua baraka ,hata kma hupendi ndio chosen generation...