Trump alalamika China kuchangia fedha kidogo WHO na UN huku wakipewa kipaumbele zaidi ya Marekani

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
19,695
22,720
..
20200517_082520.jpg
20200517_082458.jpg
 
Sasa hivi Syria, Somalia, Yemen n.k wanapumua kidogo kwa kuww Beberu wa Mabeberu Comrade Covid 19 anakamua kichizi

Sent using Jamii Forums mobile app
Yemen wana hali mbaya,yaani USA na Saudi Arabia wameivuruga Yemen,sasa hivi wanamlipuko mkubwa wa kipindupindu na wana mlipuko wa Corona,wauguzi wanao wachache na hawana vifaa vya kutosha vya kujikinga na Corona wala kipindupindu.

Pata picha wanayo yapitia wana matatizo ya vita,Corona na kipindupindu sasa ukisikia watu wanaishi kwa nguvu ya Mungu ndio hawa.
 
China aache ujanjaujanja atoe mpunga. Trump anataka china atoe mchango wa maana WHO kwa faida ya makapuku ya nchi za dunia ya tatu, lakin ajabu makapuku yenyewe yanatoa povu kukashifu bila kujua yenyewe ndo yanatetewa , wengine wameshameza ARV zao saafi wakisubiri na kesho tena wameze bila kujua zinatoka wapi
Trump ni mtetezi wa wanyonge.

Ajitoe UN ama Asitishe Msaada kama Alivyoamua Kufanya kwa WHO Ama Hizo taasisi zote zivunjwe

Turampet hajajaaliwa akili timamu

Sent using My COVID-19
 
Hawatosahau machungu wanayopitia
Yemen wana hali mbaya,yaani USA na Saudi Arabia wameivuruga Yemen,sasa hivi wanamlipuko mkubwa wa kipindupindu na wana mlipuko wa Corona,wauguzi wanao wachache na hawana vifaa vya kutosha vya kujikinga na Corona wala kipindupindu.

Pata picha wanayo yapitia wana matatizo ya vita,Corona na kipindupindu sasa ukisikia watu wanaishi kwa nguvu ya Mungu ndio hawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ajitoe UN, asitishe msaada, ama taasisi zivunjwe!, kwa maneno yako haya ni dhahiri kabisa wewe ndo hujajaliwa akili timamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Basi kama hawezi akaekimya anapiga kelele zanini sasa nakama anapiga kelele halafu WHO na UN anaowashtumu wakiwa wanaendelea Kubase upande wa UCHINA kama anavyodai itakua imesaidia nn ?!?!

Sent using My COVID-19
 
Back
Top Bottom