mwaminifuhalisi
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 329
- 416
Baada ya amri yake ya awali kugonga mwamba trump amepitia upya na kuja na order ambayo kwa sasa alisaini akiwa private na si kwenye public kama ilivyokuwa awali.
Nchi za Iran, Somalia, Sudan, Yemen, Syria and Libya
Raia wake watazuiliwa kupewa viza kwa siku 90 wakati wanausalama wakitafuta namna iliyo bora ya kufanya ukaguzi.
Wakimbizi wa Syria wamepunguziwa ban ya kuingia USA na kwa sasa watasubiri siku 120.
pia order mpya imewatoa wale watu ambao kwa sasa wana visa za kuingia nchini humo.
https://www.nytimes.com/2017/03/06/us/politics/travel-ban-muslim-trump.html?_r=0