Allineando
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 2,064
- 1,125
Na sisi tunawaomba watunyime misaada mpk huu udikteta uchwara uishe
Kila kitu kina hatua, kwani hata kina Mugabe walibadilika tu overnight na kua madikteta, walianza na uchwara sasa hv wameshakua madikteta kamili na ndio tunapoelekea hukoKwa kweli, Itabidi sijui tujiwekee vikwazo wenyewe!..
Huu Udikteta uchwara naona haujafikia kiwango cha kumulikwa, kama tulivyomulikwa tulivyobanwa kwenye uhuru wa habari na human rights advocates.
Kila kitu kina hatua, kwani hata kina Mugabe walibadilika tu overnight na kua madikteta, walianza na uchwara sasa hv wameshakua madikteta kamili na ndio tunapoelekea huko
Ni almost miaka 38 Iran ikiwa imewekewa vikwazo na marekani. Hakuna jipya.Tangu miaka ya 90 nasikiaga vikwazo tu,sometimes vikwazo sio njia sahihi,North Korea na kumuwekea vikwazo vyote lakini yuko wapi sasa