Trump aipiga mkwara mzito Iran

Trump aipiga mkwara mzito Iran

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,623
Reaction score
8,426
Donald Trump amesema kuwa Marekani imetumia Dola Trillioni 2 kwa ajili ya Vifaa vya Kijeshi. Na kuongeza kuwa wao ni bora zaidi Duniani

Ameonya kuwa iwapo Iran itashambulia kituo chochote cha Kijeshi cha Marekani au Raia yeyote wa Marekani basi hawatasita kutumia vifaa hivyo

20200105_083452.jpg
 
Trump ni kama jibwa flan ambalo linabweka kupima upepo.....
Kitakachotokea wakiingia kwenye vita na Iran itakua zaidi ya walichokipata VIETNAM, mark my fu**ng words.
Anayebeka ni Iran sio Trump, ebu mwambie Ayatolah amuue mwanajeshi mmoja tu wa US hata awe kuruta alafu uone mrejesho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbwa koko hapo ipo wapi ?

America wanajipiga wenyewe kwa undiplomatic na amateurish statement za kiongozi wao..., ila he knows what he is doing playing to his base (wapiga kura wake)
 
Dah mm nawa hurumia raia wa mataifa yenye vituo vya kijeshi vya marekani maana Iran itayaharibu vibaya sana.
Mimi ngoja nisubiri vita itokee tuanze kupokea wakimbizi kutoka saudia, Dubai, Qtar, Kuwait ili nijichagulie toto la kiarabu nivutie ndani.
 
Back
Top Bottom