Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,367
- 55,052
Bwana anajua kuwa unaomba kwa ajili ya hiyo vita?tangu Ghuba mpaka Afghanistan na hata Iraq napiga maombi kwa ajili yao. maombi yetu hayashindwi. kwa sababu tukiomba macho yetu humuelekea Bwana.
siombi vita. naomba baraka na mafanikio kwa the United States katika kila jema na gumu wanalopitia.Bwana anajua kuwa unaomba kwa ajili ya hiyo vita?
hiyo mikwara tuliisikia sana kwa Saddam ni kama Nyilawila kumtambia Mayweather Jr.USA historia inamkataa, najua mtajiuliza historia ipi hiyo?
Ni kwamba, USA vita alizopigana mwenyewe zote alimanga ugali bila mboga. (Alidundwa).
Sasa, N Korea yeye amesema ataua mtu bila msaada wa nchi zingine.
Ila Kim Un hana tatizo kabisaaa na nchi au mtu yoyote yule, nukes zake ni kwa ajili ya ulinzi wake.
Mimi naona NK, ashushe tu nukes zake Washington DC na Pentagon ndiyo turudi sasa kujadili vizuri ili Trump na USA ndiyo wataheshimu nchi zingine na amani duniani itakuwepo.
Sasa kama anajua ana uwezo wa kuipiga mbona anaihusisha China si aingie moja kwa moja.
Ndo wale wale "Nishikeni nitamuuawa Nishikeni nitamuuawa"
hiyo mikwara tuliisikia sana kwa Saddam.
Mafanikio ya vita ni kuua raia na majeshi pinzani, Bwana huyo unaeomba anaongeleaje kuhusu wawili wasiopata?siombi vita. naomba baraka na mafanikio kwa the United States katika kila jema na gumu wanalopitia.
si ndo maana umeambiwa all options on table? washirika pia ni option. wewe tulia. mpaka siku ukisikia jamaa kaingia ujue kila kitu kiko frozen huko pyong yang.Walimpiga sadam watu wangapi Kama unaakili ya kukimbilia!?
Unajua USA, sasa hivi analialia kuomba msaada wa support Toka nchi Kama 6 za Asia na ulaya?
Kwa nini asishuke yeye pekee apige show Kama anazo nguvu?
ndiyo maanaaa ... ndiyo maanaaaMafanikio ya vita ni kuua raia na majeshi pinzani, Bwana huyo unaeomba anaongeleaje kuhusu wawili wasiopata?
Akiingia ina maana anaenda kuua sio?si ndo maana umeambiwa all options on table? washirika pia ni option. wewe tulia. mpaka siku ukisikia jamaa kaingia ujue kila kitu kiko frozen huko pyong yang.
mkuu unanichosha ujuwe. niache mimi niendelee na [emoji120] [emoji120] [emoji120] kwa the United States.Akiingia ina maana anaenda kuua sio?
Trump anadhani NK ni sawa na Iraq au Libya.Trump ndicho anafanya anajua hajajipanga kwa vita ila maneno mengi mwenzake NK kasema kama anataka vita muda wowote wapo tayari kuingia vitani.
Nishikeni nitamuua kumbe hana lolote.
Naam, Bwana Mungu wa Israel.tangu Ghuba mpaka Afghanistan na hata Iraq napiga maombi kwa ajili yao. maombi yetu hayashindwi. kwa sababu tukiomba macho yetu humuelekea Bwana.