Trump aionya tena Korea Kaskazini

Trump mikwara mingi, mbona kuhusu Syria hakutaka Iran au Russia ifanye mazungumzo na Syria badala yake akaipiga na mabomu. Huko DPRK aache maneno.
 
Maonyo siku zote yanatolewa kwenye statement official ya Serikali si kwenye mitandao ya Kijamii

Huyu Trump anataka kuleta tabia za viongozi wa kiafrica kwa ku diverse jambo kwa kuja na jambo Dunia na wamarekani wasijadili mambo yake ya ajabu au uchumi na biashara na maendeleo wajadili tension ya Asia Pacific

Mwenzie ametulia tu anaendelea na nuclear program zake na kujaribu makombora yake Trump kutwa kushinda mitandaoni nakutoa matamko wakati Ikulu na Serikali kuna wasemaji haya mambo ya one men show ni tabia za kiafrica kabisaaaa
 
Marekani haiwezi pigana na mtu ambaye wana uhakika anamiliki nyuklia hizo ni kiki za Trump
 
Marekani bado kidogo tu kuaibika
Huwezi peleka siraha uwanja wa vita alafu unamuonya adui
Tofauti na hapo angemuonya kwanza
 
marekani anatumia inchi za wengine kuweka kambi za kijeshi alafu kwake pako safi sasahivi kaweka korea kusin kikinuka mabom yote yanadondoka korea kusin huku marekani poko safi
Alafu wakija kufanyiwa uharamia nchini kwao wanaanza kulialia,ooh magaidi,ooh waislamu sjui nini wakati wao ndio walianza kwenda kuharibu nchi za watu
 
Imagne pale umekorofishwa na dogo unaemuweza hv huwa kunakuwa na maswal tena? C kuchapa tu makonde? Tuna mashaka sasa na nguv za kijesh za huy jamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…