Trump aiomba Korea Kaskazini kufanya mazungumzo mezani

Ukitaka kumuua adui kiurahisi kabisa bila kutumia nguvu kubwa "Make him/her your friend" US intelligence kazini..!! Hapo wanampumbaza Kiduku, mara paaaaap wamemsambaratisha..!!
Kila siku mnaota ndoto tuu kiduku ashasema anataka marekani itambue kuwa taifa lake ni lakinyuklia
 
Ukitaka kumuua adui kiurahisi kabisa bila kutumia nguvu kubwa "Make him/her your friend" US intelligence kazini..!! Hapo wanampumbaza Kiduku, mara paaaaap wamemsambaratisha..!!
Kwa hiyo Marekani anataka vita ya kuvizia? kwa maneno yako inamaanisha Marekani anaivizia NK.lol SUPER POWER wetu anaanza kutafuta off side trick.kwisha habari yake.Au anasubiri huruma ya NATO.maana huyu mbabe hua haendi vitani bila washirika,nasema tena kwisha habari yake.
 
Ukitaka kumuua adui kiurahisi kabisa bila kutumia nguvu kubwa "Make him/her your friend" US intelligence kazini..!! Hapo wanampumbaza Kiduku, mara paaaaap wamemsambaratisha..!!
Pale Mtanzania "mbumbumbu wa kila kitu kiuchumi,teknolojia" anajifanya expert kuliko timu ya national security wa North Korea

Juzi si mlisema atavamiwa kijeshi mara navy seals ,stealth ,nyambizi leo mmegeuka tena kuwa hawatotumia nguvu kumuua adui eti make him or her your friend ,.khaaa hivi speech ya foreign minister wa NK kwenye UN ulisikiliza
 
Jamani sisi wa north korea wa mtwara huku tunamuunga mkono rais wetu kiduku kuna korosho zako huku za ofa
 
Ukitaka kumuua adui kiurahisi kabisa bila kutumia nguvu kubwa "Make him/her your friend" US intelligence kazini..!! Hapo wanampumbaza Kiduku, mara paaaaap wamemsambaratisha..!!
Acha hadithi zako, wale sio waarabu, Bush na baba yake walishindwa
 
Muda mwingi Trump anazungumzia madhara yake no makubwa maana ataua wanawake na watoto kitu ambacho hakitakiwi ndio maana anamsihi afuate mashart vinginevyo akiendelea atapigwa...
 
Back
Top Bottom