comrade igwe
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 7,295
- 3,939
If u can't fight your enemy join him
trump anasubiria muda muafaka ufike aitumie NKorea kama njia ya kushinda 2020, tusubiri mtaona kitachotokea kati ya 2019 na 2018
Sasa mkiungana adui atakua nani tena na silaha tutatuza wapi aaah
Ukitaka kumuua adui kiurahisi kabisa bila kutumia nguvu kubwa "Make him/her your friend" US intelligence kazini..!! Hapo wanampumbaza Kiduku, mara paaaaap wamemsambaratisha..!!
Rais wa Marekani Bw Donald Trump ameiasa nchi ya Korea Kaskazini kufanya mazungumzo kuhusu mpango wake wa silaha za kinyuklia, Rais Trump ameongea hayo leo tarehe 7.11.2017 wakati anaongea na waandishi wa habari pamoja na Rais wa Korea Kusini Moon jae jijini Seoul akiwa katika ziara ya nchi tano za Asia, Trump alisema " Korea Kaskazini njoo kwenye meza ya mazungumzo kuhusu silaha za kinyuklia ninashukuru mungu sitaweza kutumia nguvu ya kijeshi Pyongyang",aidha, ziara ya Bwana Trump katika bara la Asia ina agenda ya mazungumzo ya nyuklia kuhusu Korea Kaskazini, wakati huo huo Wizara ya Ulinzi ya Korea kaskazini imesema itafanya jaribio la saba la kinyuklia mwishoni mwa wiki hii.
KIDUKU kasomea US hivyo anazijua akili za wazungu na hawezi kuamini hayo maneno ya Trump hata siku moja ndo maana anafanya jaribio lingine LA nyuklia, anajua kuwa anataka kumhadaa ili ampige kirahisi, na yeye hataki kubweteka maana wamarekani anawajua in and out.