Trump aanza ziara yake huko China 🇨🇳!!!!

Mabwana zako wamejituta makundi kwa makundi wanakimbilia uchina.

Kwa ego ya Trump ujue ameshikwa sana na hana jinsi ndio maana anajipeleka uchina mwenyewe.

Kama angekuwa yeye ndo mwenye upper hand hata usingemuona anaangaika.

Inaonekana wewe na baadhi wengine, mna uelewa mdogo sana kwenye masuala ya mahusiano ya kimataifa.

Kama Rais wa Marekani aliwahi kuja mpaka Tanzania, kuna nini cha ajabu Rais wa Marekani kwenda China? Rais wa China alikwishaenda USA akakutana na Rais Joe Biden, na alitoa mwaliko kwa Rais wa Marekani kwenda kutembelea China.

Kwa kuzingatia uwekezaji wa makamouni ya Marekani yaliyowekeza China, na kwa kuzingatia mauzo ya China nchini Marekani, ni mwendawazimu pekee atakayeshangaa Rais wa Marekani kutembelea China, au Rais wa China kutembelea Marekani.

Ukishayajua haya, huwezi kuja na hoja za kijinga juu ya kwa nini Rais wa Marekani akatembelee China au Rais wa China kutembelea Marekani, ni afadhali ushangae Rais wa Marekani kutembelea Tanzania:
1. More than 70,000 U.S. companies have invested and operated in China, with total U.S. direct investment valued at $122.89 billion by 2024.

2. In 2024, Chinese goods exports to the United States amounted to approximately $432 billion to $439 billion.

Compare to:
In 2024, China's exports to Africa totaled approximately $171–$179 billion

Ukweli ni kwamba aheri kwa China kulikosa soko lote la bara la Afrika kuliko kulikosa soko la USA.
 
Watu wanamponda huyo mleta mada,kutwa hua anaitukana China,
Kama wewe unayajua haya basi tumia hii fursa kumpa elimu mleta mada,
Uliyo yaandika hapa yapo wazi na yanajulikana,issue ni huyo mleta mada ambaye kutwa hua anaiponda China na kuiona si chochote kwa US.
 
Mzee wa Uharo naona viongozi wote wa Ulaya na Marekani wanatubu kwa China😂

Alianza Waziri Mkuu wa Canada kisha Waziri Mkuu wa Uingereza kisha Waziri Mkuu wa Ujerumani kisha Waziri Mkuu wa Spain, sasa hivi bashaa wako Trump😂
 
Ndivyo mnavyodanganyana huko Madrasa?
 
Mzee wa Uharo naona viongozi wote wa Ulaya na Marekani wanatubu kwa China😂

Alianza Waziri Mkuu wa Canada kisha Waziri Mkuu wa Uingereza kisha Waziri Mkuu wa Ujerumani kisha Waziri Mkuu wa Spain, sasa hivi bashaa wako Trump😂
Huo ni UHARO wako tu lakini wenzako wanakula bata kama kawaida
 
Attachments

  • VID_20260514_130026_361.mp4
    792.5 KB
Back
Top Bottom