Ila ataumia mnoHe didn’t lose because of his policies.
He lost because of his style.
He faced a lot of headwinds from day one.
He also contributed a lot of it, by himself.
He is his own worst enemy!
Sina ushahidi, ila nina mashaka sana!Ila ataumia mno
Hata yeye alisema kuhusu Penyslavia (masahihisho) alikua na laki 5 ila zinafutika kiajabu.Sina ushahidi, ila nina mashaka sana!
Mtu alikuwa anaongoza kwenye majimbo yote muhimu, tena ma-laki ya kura.
Ila kadri siku zinavyoenda, eti kura zake zinapungua na za mpinzani wake zinaongezeka tu.
Hmm.....aisee. Hahahaaa kuna mambo huwa hayaingii akilini kabisa.
Actually ilikuwa ni zaidi ya laki 6!Hata yeye alisema kuhusu Penyslavia (masahihisho) alikua na laki 5 ila zinafutika kiajabu.
Hata yeye aliliongelea swala la Mail ballots
Kurudi anaweza kwa maana ya umri lakini sidhani Kama chama chake kitampisha lakini pia kushinda itakuwa ndotoAnaweza kurudi tena....
Kama akitaka kugombea, si lazima agombee kupitia chama.Kurudi anaweza kwa maana ya umri lakini sidhani Kama chama chake kitampisha lakini pia kushinda itakuwa ndoto
Kilichofanyika Trump alijikita zaidi kuwambia wanachama wake wakapige kura kwenye vituo tafauti na Biden aliwamiza wananchi wapige kura kwa njia ya Posta, kilichotokea kura zilizopigwa kwenye kituo ndiyo zilianza kuhesabiwa ambazo nyingi zilikuwa kura za Trump, baada ya hapo walianza za posta za Biden mchezo ukaishia hapo.Actually ilikuwa ni zaidi ya laki 6!
Kama nilivyosema, sina ushahidi. Ila nina mashaka sana. Nahisi kuna figisu wamemfanyia.
Haiwezekani kadri siku zinavyoenda, kura za mpinzani wake zinaongezeka huku zake, kwa kiasi kikubwa, zikibaki palepale.
Hayo ni maajabu.
Hata Marekani figisu zipo.
I still cannot rule out some shenanigans.Kilichofanyika Trump alijikita zaidi kuwambia wanachama wake wakapige kura kwenye vituo tafauti na Biden aliwamiza wananchi wapige kura kwa njia ya Posta, kilichotokea kura zilizopigwa kwenye kituo ndiyo zilianza kuhesabiwa ambazo nyingi zilikuwa kura za Trump, baada ya hapo walianza za posta za Biden mchezo ukaishia hapo
Ni USHINDI wa kisayansi
Ni sawa hakuna cha figisu, democrats wengi walihamasishwa kupiga kura za mail mapema, rejea Ohio na majimbo mengine ambayo walianza kuhesabu mail ballots utaona jinsi Joe alivyokimbiza na mwisho wa siku yaliishia mikononi mwa Trump baada ya kura zote zilizopigwa siku ya uchaguzi kuhesabiwa, Georgia na PA walianzia kura za siku ya uchaguzi zile za mail wakaziweka za mwisho na ndo zenye kura nyingi za Joe, Joe yuko strict sana na issue ya Corona, wapiga kura wake wengi aliwahamasisha wavote mapema kwa mail wasipange mstari.Actually ilikuwa ni zaidi ya laki 6!
Kama nilivyosema, sina ushahidi. Ila nina mashaka sana. Nahisi kuna figisu wamemfanyia.
Haiwezekani kadri siku zinavyoenda, kura za mpinzani wake zinaongezeka huku zake, kwa kiasi kikubwa, zikibaki palepale.
Hayo ni maajabu.
Hata Marekani figisu zipo.
Hayo ni maoni yako.Ni sawa hakuna cha figisu, democrats wengi walihamasishwa kupiga kura za mail mapema, rejea Ohio na majimbo mengine ambayo walianza kuhesabu mail ballots utaona jinsi Joe alivyokimbiza na mwisho wa siku yaliishia mikononi mwa Trump baada ya kura zote zilizopigwa siku ya uchaguzi kuhesabiwa, Georgia na PA walianzia kura za siku ya uchaguzi zile za mail wakaziweka za mwisho na ndo zenye kura nyingi za Joe, Joe yuko strict sana na issue ya Corona, wapiga kura wake wengi aliwahamasisha wavote mapema kwa mail wasipange mstari.