Sie wa kwetu yule mpiganaji wa ngumi Selemani Kidunda amepigwa mapema kabisa du huenda anakaa Manzese so akaona bora adundwe tu maana hata kama angekuja na hiyo medali ya magram hayo yote asingekaa nayo hata nusu saa wangemkaba wajamja wa Manzese.Pia naona na majina nayo yana maana sasa mtu anaitwa Kidunda kwa nini asidundwe