upendodaima
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 4,086
- 4,526
Hii coment yako imenifanya nicheke zaidi ya huyo nyoka huko aliko.Hawa waliotahiriwa hospitalini wana tabu...sisi wa jandoni ndio kwanza ningepiga vigere gere kucheza nae sindimba.......yaani huyo nyoka huko alipo anacheka mpaka kavunjika mbavu....
Nisaidie kushangaa mkuu....yaani inachekeza na kufurahisha...Hii coment yako imenifanya nicheke zaidi ya huyo nyoka huko aliko.
Hahahahhaaaa ilirudi ndan. Kaitoa asubuhPole sana, huenda ametumbukia kunako shimo la chooo au katoweka!!
Sasa "nyengo" ulikata kweli?! au ilipotea nayo kama nyoka?!
Kwenye choo kile kile alichopotea nyoka?!!Hahahahhaaaa ilirudi ndan. Kaitoa asubuh
Alienda kwa jirani, choo chake kakifungaKwenye choo kile kile alichopotea nyoka?!!
Jamaaa yetu hajui uoga ndo humponza mtu. Nyoka ukitulia tu hakusogelei, tena ukimtaim vizuri umamkamata laivu kwa mikonoNisaidie kushangaa mkuu....yaani inachekeza na kufurahisha...
Wakuu habari za majukumu
Jana mida ya sa 11 jion nimekutana na kimbwanga sio kidogo, nilikua najisaidia chooni (ni cha shimo kipo nje). Ile nimeingia tu kusema nichuchumae nifanye yangu, la haulaaa!!! Kumbe kulikua na nyoka amejificha nyuma ya Mlango sikumbuki rangi yake kutokana na kupagawa ila size yake ya kawaida sio mkubwa kivile . Nilimwona tu akafanya kama anajibana ukutani, mimi nikapiga kelele (mama weeeeeh).. Bahati nzuri hakuniuma ila alirusha kitu kwa juu nadhani ndo sumu yenyewe uzur na yenyewe ikanikosa nilipoona kachelewa timing me huyo ni kakimbia kuelekea nje speed speed..nikaupigiza Mlango japo niliumia kidole kwenye ngazi za kuingilia chooni nikamfungia kwa ndani Muda huo huo kulikuwa na mafundi kwa nje wanatengeneza gari nikawaita haraka tukaue nyoka tumeingia chooni tumemtafuta tumemkosa. Mazingira ya nyumbani sio rahisi kwa kweli nyoka kuingia ndani hata ya get la nyumba. Basi kama unavojua waswahili sisi wapana hatuna dogo wakaja watu tumewaambia wamehusanisha tukio na imani za kishirikina. Nimekosa amani kwa kweli
Wajuvi wa mambo hizo niambieni kama ni tukio la kawaida au laaah
Kinachonisumbia zaid ni jinsi nyoka huyo alivopotea kimagendo. Watu wote tumeshangaa tu najiuliza ina maana karudi ndani ya shimo au na ndipo ilipo maskani yake kwenye kinyesi??????? Maswali mengi no ufumbuzi na Watoto wa nyumbani wameogopa kuingia toilet wanaenda kwa jiran
Kina mshana Jr haya sio mambo yenu kweli ya kigiza giza
Safisha mazingira kuzunguka nyumba.
Je jirani zako hawafugi mapori?
Hiko choo mkiweke tiles sio rafiki sana na hao watembelea tumbo
Nyie vijana Wa siku hizi oya oya sana sasa kimjusi kimekukatasha haja kweli? Sie wenzenu kibakwe tunalala na anaconda chini ya kitanda bila hofuWakuu habari za majukumu
Jana mida ya sa 11 jion nimekutana na kimbwanga sio kidogo, nilikua najisaidia chooni (ni cha shimo kipo nje).
Ile nimeingia tu kusema nichuchumae nifanye yangu, la haulaaa!!! Kumbe kulikua na nyoka amejificha nyuma ya Mlango sikumbuki rangi yake kutokana na kupagawa ila size yake ya kawaida sio mkubwa kivile . Nilimwona tu akafanya kama anajibana ukutani, mimi nikapiga kelele (mama weeeeeh)..
Bahati nzuri hakuniuma ila alirusha kitu kwa juu nadhani ndo sumu yenyewe uzur na yenyewe ikanikosa nilipoona kachelewa timing me huyo ni kakimbia kuelekea nje speed speed..nikaupigiza Mlango japo niliumia kidole kwenye ngazi za kuingilia chooni nikamfungia kwa ndani Muda huo huo kulikuwa na mafundi kwa nje wanatengeneza gari nikawaita haraka tukaue nyoka tumeingia chooni tumemtafuta tumemkosa. Mazingira ya nyumbani sio rahisi kwa kweli nyoka kuingia ndani hata ya get la nyumba. Basi kama unavojua waswahili sisi wapana hatuna dogo wakaja watu tumewaambia wamehusanisha tukio na imani za kishirikina. Nimekosa amani kwa kweli
Wajuvi wa mambo hizo niambieni kama ni tukio la kawaida au laaah
Kinachonisumbia zaid ni jinsi nyoka huyo alivopotea kimagendo. Watu wote tumeshangaa tu najiuliza ina maana karudi ndani ya shimo au na ndipo ilipo maskani yake kwenye kinyesi??????? Maswali mengi no ufumbuzi na Watoto wa nyumbani wameogopa kuingia toilet wanaenda kwa jiran
Kina mshana Jr haya sio mambo yenu kweli ya kigiza giza
Hahaha mkuu mpaka sasa hivimchana Hakuna aliyeingia chooni hata mmojaNyie vijana Wa siku hizi oya oya sana sasa kimjusi kimekukatasha haja kweli? Sie wenzenu kibakwe tunalala na anaconda chini ya kitanda bila hofu
Wakati mwingine nyumba inaweza kuwa na tiles na bado nyoka akaingia ndani.....cha msingi asafishe mazingira tu na km kuna uwazi mdogo tu huyo nyoka hawezi kukaa humo nae anaogopa watu........mi wife ameshawahi kupambana nae sebuleni na tiles ilikuwepo kipindi mi nipo kazini.Safisha mazingira kuzunguka nyumba.
Je jirani zako hawafugi mapori?
Hiko choo mkiweke tiles sio rafiki sana na hao watembelea tumbo