[TABLE="class: outer_border, width: 500, align: center"]
[TR]
[TD]sijaona logic hapa ya ushobokeaji wa magari. gari ni carrier unit kama ilivyo bajaj au commuter buses nyingine tu![TABLE="class: outer_border, width: 500, align: center"]
[TR]
[TD] kwa jinsi nilivyosoma, inaonekana wewe ndiye uliyeenda kuongeza budget
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]ya wawili hao! ulitakiwa tu uondoe msongamano! just imagine, kama kweli huyo dada asingekuwa na kitu, je mngeliweza kutumia shs 6000 watu watatu?... je, angeweza vipi kurudi kwao kama angelikuwa anawategemea ninyi financially?..
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]