Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,322 Reaction score 197,051 Oct 6, 2026 #21 Ahsante kwa taarifa, kila la kheri... Cc: Mahondaw
Rebuild JF-Expert Member Joined May 26, 2020 Posts 3,735 Reaction score 7,435 Oct 7, 2026 #22 Hii taarifa niliiona Muda kidogo kwenye media za online Naona umeanzisha uzi hapa kupata airtime. Okay karibu Sana ushuani huku wote tunaskuma magari jitahidi upate lako.
Hii taarifa niliiona Muda kidogo kwenye media za online Naona umeanzisha uzi hapa kupata airtime. Okay karibu Sana ushuani huku wote tunaskuma magari jitahidi upate lako.
NACKO JF-Expert Member Joined Oct 27, 2022 Posts 1,762 Reaction score 3,435 Oct 7, 2026 #23 Joanah said: Hongera kwa kuwajibika Usiongeze tena watoto sasa Click to expand... bila watoto kumi, bado hujawa baba🤣🤣
Joanah said: Hongera kwa kuwajibika Usiongeze tena watoto sasa Click to expand... bila watoto kumi, bado hujawa baba🤣🤣
Joanah JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 26,721 Reaction score 98,892 Oct 7, 2026 #24 NACKO said: bila watoto kumi, bado hujawa baba🤣🤣 Click to expand... Watoto 10 na hela ya ubwabwa tu hamna 😂
NACKO said: bila watoto kumi, bado hujawa baba🤣🤣 Click to expand... Watoto 10 na hela ya ubwabwa tu hamna 😂
NACKO JF-Expert Member Joined Oct 27, 2022 Posts 1,762 Reaction score 3,435 Oct 7, 2026 #25 Joanah said: Watoto 10 na hela ya ubwabwa tu hamna 😂 Click to expand... ndo maana tunasema ubaba kazi sana, si unaona mwamba kalala njaa lakini watoto wamekula,...
Joanah said: Watoto 10 na hela ya ubwabwa tu hamna 😂 Click to expand... ndo maana tunasema ubaba kazi sana, si unaona mwamba kalala njaa lakini watoto wamekula,...
MEGATRONE JF-Expert Member Joined Feb 22, 2014 Posts 1,443 Reaction score 2,564 Oct 7, 2026 #26 Nimesoma kwa shida mpaka nahisi pumzi inakaribia kukata
Koffi Annan JF-Expert Member Joined Dec 23, 2018 Posts 2,635 Reaction score 8,056 Oct 7, 2026 #27 Jinga kabisa, unazaa watoto wa nini na hujui mpangilio wa maisha