Mwanamke aliyewafahamu wanaume, na hakuna mwanaume aliyechomoka kwake. Aliwezaje?
Alifukuzwa nchini kwake, lakini alikuja kuwa Malkia wa nchi ile ile aliyofukuzwa, Aliwezaje?
Mwaka 48 K.K, Ptolemy XIV wa Misri alifanikiwa kumfukuza dada yake ambaye pia ni mke wake Malkia Cleopatra. Akafunga mipaka yote ya nchi ili Cleopatra asiweze kurudi halafu akaanza kuitawala Misri yeye peke yake.
Kipindi hicho, Misri ilikua inatawaliwa na Rumi. Kwahiyo mwaka huo Kaisari Julius wa Rumi, akaenda Misri kwa ajili ya mambo ya kisiasa.
Usiku mmoja, wakati Kaisari akiwa na kikao na majenerali wake kwenye ikulu ya Misri, mlinzi mmoja akaja kutoa ripoti kuwa kuna mfanyabiashara amekuja kuleta zawadi kwa Kaisari Julius.
Kaisari akataka kujua ni zawadi gani, akamruhusu huyo mfanyabiashara
aingie. Mfanyabiashara akaingia akiwa amebeba carpet ama zulia kubwa lililoviringwa vizuri. Zulia likafunguliwa taratibu na kwa umakini. Baada
ya kulifungua, akatokea Cleopatra ambae alikua amefichwa katika zulia
hilo. Cleopatra aliyekua na miaka 21 kipindi hicho,akaibuka kwa
ustadi mpaka akawashangaza wote waliokuwepo pale.
Cleopatra alipoanza kuongea, katika wote, hakuna aliyevutiwa na kutekwa zaidi ya Kaisari Julius.Usiku uleule, Kaisari, mgeni kutoka Rumi na mtawala wa Rumi, akaanzisha mahusiano na Cleopatra.
Cleopatra alikua mwanamke wa kawaida kama wanawake wengine. Hakua na uso
mzuri. Lakini aliwajua wanaume vizuri. Alijua kuwa kuna vitu ukivifanya, wanaume wanakuona ni mzuri na unawateka kwa haraka.
Kaisari Julius akamchukua Cleopatra akaenda nae Rumi. Kaisari alikua na
wanawake wengi, wanawake wa kumtuliza akitoka kwenye kazi zake, tena wazuri kuliko Cleopatra.Lakini ilikua Kaisari akitaka kupumzika
anaenda kwa Cleopatra.

Cleopatra alimteka Kaisari kwa kila kitu. Kaisari aliona wanawake wengi wakifanya kila njia ili waweze kumpata na wasiweze, lakini hakuwahi kukutana na mwanamke kama Cleopatra, aliyekua akimteka kila siku kadiri siku zinavyoenda.

Maisha ya Kaisari yalikua ni kupanga vita, na kutawala na yalikua na changamoto za kutosha, lakini ikawa akimaliza kazi anakwenda kwa Cleopatra. Na akiwa na
Cleopatra, anajisikia kuwa huru na amani na utulivu moyoni.
Cleopatra akamshawishi Kaisari kuwaondoa maadui zake waliopo Misri, na Kaisari akafanya hivyo.Cleopatra akamshawishi Kaisari Julius waende Misri nao wakaenda Misri.Na walipokua Misri, Kaisari akalegeza utawala
wake, akalewa na mahaba na manjonjo ya Malkia Cleopatra.
🫢
Miaka minne baada ya kuonana na Cleopatra, Kaisari aliuawa. Na Rumi
ikatawaliwa na jemadari shujaa anayeitwa Mark Anthony.
🫶
Miaka kadhaa baadae Mark Anthony alikutana na Cleopatra alipoenda tena Misri. Alipoongea tu na Cleopatra, Mark Anthony akavutiwa mara moja na Malkia Cleopatra. Mark Anthony akaamua kukaa kidogo zaidi ili amuelewe zaidi Cleopatra. Na kadiri alivyokaa akazidi kulewa mpaka akasahau kurudi
Rumi.
Ili kumfanya arudi Rumi, kiongozi mmojawapo wa Rumi aliyeitwa Octavius, akampatia Mark Anthony mke. Octavius akampatia dada yake awe mke wa Mark Anthony, mwanamke ambae alikuaa ni moja kati ya Wanawake wazuri huko Rumi.Iliaminiwa kwa tabia za huyu dada yake Octavius, ataweza kumfanya MarkAnthony, mtawala wa Rumi, atoke
Misri, arudi Rumi.
Kweli walifanikiwa kumrudisha Mark Anthony Rumi. Lakini Mark Anthony hakuwahi kumsahau Cleopatra. Na baada ya miaka mitatu, Mark Anthony alienda Misri kuonana na Malkia Cleopatra. Safari hii Mark
Anthony hakuweza kuchomoka. Akatekwa mazima na Cleopatra.
Cleopatra alikua anaweza kumpata na kumteka mwanaume yeyote anayemtaka.
Na uwezo wake wa kumpata mwanaume yeyoye haukua eti kwa sababu ya muonekano wake. Wanawake wengi sana walikua ni wazuri kuliko yeye. Cleopatra kikubwa na muhimu alichowazidi ni, aliwajua na kuwaelewa wanaume wanataka nini na nini ukifanya mwanaume anakusikiliza kwa kila kitu(bila kutumia
ndumba).
Mwanamke ambae alifukuzwa Misri, ambae alitegemewa kufa mapema, akaweza kubadili hayo yote na kutawala Misri kwa karibu miaka 20, aliweza hayo yote kwasababu alifahamu wanaume wanataka nini.
Kwa Cleopatra tunajifunza kuwa, uzuri sio utakaomfanya mwanaume awe
na wewe na akusikilize vile unataka.
Cleopatra alijifunza vizuri kuhusu wanaume wanafikiriaje na nini uwafanyie ili kuwapata kwa urahisi.
Ukitaka kujifunza zaidi, tuko tayari kukuelekeza baadhi ya mambo ambayo hujawahi kujifunza sehemu nyingi.

Kujifunza wanaume wanafikiriaje, wanawaza nini kuhusu mapenzi na Maisha,na ufanyaje kuwa na mahusiano yasiyo na magomvi ya lazima.
Tuma ujumbe kwenda whatsapp number +255 713 287782, tutakutumia muongozo wa kujifunza bure.
ONYO
USITUMIE NJIA UTAKAZOJIFUNZA ILI KUWARUBUNI WANAUME
Alifukuzwa nchini kwake, lakini alikuja kuwa Malkia wa nchi ile ile aliyofukuzwa, Aliwezaje?
Mwaka 48 K.K, Ptolemy XIV wa Misri alifanikiwa kumfukuza dada yake ambaye pia ni mke wake Malkia Cleopatra. Akafunga mipaka yote ya nchi ili Cleopatra asiweze kurudi halafu akaanza kuitawala Misri yeye peke yake.
Kipindi hicho, Misri ilikua inatawaliwa na Rumi. Kwahiyo mwaka huo Kaisari Julius wa Rumi, akaenda Misri kwa ajili ya mambo ya kisiasa.
Usiku mmoja, wakati Kaisari akiwa na kikao na majenerali wake kwenye ikulu ya Misri, mlinzi mmoja akaja kutoa ripoti kuwa kuna mfanyabiashara amekuja kuleta zawadi kwa Kaisari Julius.Kaisari akataka kujua ni zawadi gani, akamruhusu huyo mfanyabiashara
aingie. Mfanyabiashara akaingia akiwa amebeba carpet ama zulia kubwa lililoviringwa vizuri. Zulia likafunguliwa taratibu na kwa umakini. Baada
ya kulifungua, akatokea Cleopatra ambae alikua amefichwa katika zulia
hilo. Cleopatra aliyekua na miaka 21 kipindi hicho,akaibuka kwa
ustadi mpaka akawashangaza wote waliokuwepo pale.
Cleopatra alipoanza kuongea, katika wote, hakuna aliyevutiwa na kutekwa zaidi ya Kaisari Julius.Usiku uleule, Kaisari, mgeni kutoka Rumi na mtawala wa Rumi, akaanzisha mahusiano na Cleopatra.Cleopatra alikua mwanamke wa kawaida kama wanawake wengine. Hakua na uso
mzuri. Lakini aliwajua wanaume vizuri. Alijua kuwa kuna vitu ukivifanya, wanaume wanakuona ni mzuri na unawateka kwa haraka.
Kaisari Julius akamchukua Cleopatra akaenda nae Rumi. Kaisari alikua na wanawake wengi, wanawake wa kumtuliza akitoka kwenye kazi zake, tena wazuri kuliko Cleopatra.Lakini ilikua Kaisari akitaka kupumzika
anaenda kwa Cleopatra.

Cleopatra alimteka Kaisari kwa kila kitu. Kaisari aliona wanawake wengi wakifanya kila njia ili waweze kumpata na wasiweze, lakini hakuwahi kukutana na mwanamke kama Cleopatra, aliyekua akimteka kila siku kadiri siku zinavyoenda.
Maisha ya Kaisari yalikua ni kupanga vita, na kutawala na yalikua na changamoto za kutosha, lakini ikawa akimaliza kazi anakwenda kwa Cleopatra. Na akiwa na Cleopatra, anajisikia kuwa huru na amani na utulivu moyoni.
Cleopatra akamshawishi Kaisari kuwaondoa maadui zake waliopo Misri, na Kaisari akafanya hivyo.Cleopatra akamshawishi Kaisari Julius waende Misri nao wakaenda Misri.Na walipokua Misri, Kaisari akalegeza utawala wake, akalewa na mahaba na manjonjo ya Malkia Cleopatra.
🫢

Miaka minne baada ya kuonana na Cleopatra, Kaisari aliuawa. Na Rumi ikatawaliwa na jemadari shujaa anayeitwa Mark Anthony.
🫶

Miaka kadhaa baadae Mark Anthony alikutana na Cleopatra alipoenda tena Misri. Alipoongea tu na Cleopatra, Mark Anthony akavutiwa mara moja na Malkia Cleopatra. Mark Anthony akaamua kukaa kidogo zaidi ili amuelewe zaidi Cleopatra. Na kadiri alivyokaa akazidi kulewa mpaka akasahau kurudi Rumi.
Ili kumfanya arudi Rumi, kiongozi mmojawapo wa Rumi aliyeitwa Octavius, akampatia Mark Anthony mke. Octavius akampatia dada yake awe mke wa Mark Anthony, mwanamke ambae alikuaa ni moja kati ya Wanawake wazuri huko Rumi.Iliaminiwa kwa tabia za huyu dada yake Octavius, ataweza kumfanya MarkAnthony, mtawala wa Rumi, atokeMisri, arudi Rumi.
Kweli walifanikiwa kumrudisha Mark Anthony Rumi. Lakini Mark Anthony hakuwahi kumsahau Cleopatra. Na baada ya miaka mitatu, Mark Anthony alienda Misri kuonana na Malkia Cleopatra. Safari hii Mark Anthony hakuweza kuchomoka. Akatekwa mazima na Cleopatra.
Cleopatra alikua anaweza kumpata na kumteka mwanaume yeyote anayemtaka.
Na uwezo wake wa kumpata mwanaume yeyoye haukua eti kwa sababu ya muonekano wake. Wanawake wengi sana walikua ni wazuri kuliko yeye. Cleopatra kikubwa na muhimu alichowazidi ni, aliwajua na kuwaelewa wanaume wanataka nini na nini ukifanya mwanaume anakusikiliza kwa kila kitu(bila kutumia ndumba).
Mwanamke ambae alifukuzwa Misri, ambae alitegemewa kufa mapema, akaweza kubadili hayo yote na kutawala Misri kwa karibu miaka 20, aliweza hayo yote kwasababu alifahamu wanaume wanataka nini.
Kwa Cleopatra tunajifunza kuwa, uzuri sio utakaomfanya mwanaume awe na wewe na akusikilize vile unataka.
Cleopatra alijifunza vizuri kuhusu wanaume wanafikiriaje na nini uwafanyie ili kuwapata kwa urahisi.
Ukitaka kujifunza zaidi, tuko tayari kukuelekeza baadhi ya mambo ambayo hujawahi kujifunza sehemu nyingi.
Kujifunza wanaume wanafikiriaje, wanawaza nini kuhusu mapenzi na Maisha,na ufanyaje kuwa na mahusiano yasiyo na magomvi ya lazima.Tuma ujumbe kwenda whatsapp number +255 713 287782, tutakutumia muongozo wa kujifunza bure.
ONYO
USITUMIE NJIA UTAKAZOJIFUNZA ILI KUWARUBUNI WANAUME