myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,136
aisee...umekumbuka mbali...Nyelwa Kisenge alikuwa DC huko Mbulu miaka ya 1980s, alikuwa DC mkali na mchapakazi sana. Alikuwa pia mfuatiliaji sana na aliibadilisha sana Mbulu.
Miaka hiyo kulitokea ugonjwa wa Tauni na akaagiza kata 3 ziwe chini ya karantini.
Katika kutekeleza maagizo yake, Katibu Tarafa mmoja aliitisha mkutano wa hadhara na kuanza kuwaambia wananchi .....
" Leo nimekuja kufuatilia maagizo ya Kisenge! Si wote mlisikia maagizo ya Kisenge? Nani hataki kutekeleza maagizo ya Kisenge? Lazima mtekeleze maagizo ya Kisenge! Kama mna malalamiko si kwangu, ni ya Kisenge!..............
RIP Mh. Nyelwa Kisenge, pia alipata kuwa katibu wa chama Singida, Shinyanga, n.k. na ni mpare wa Usangi.
poleni familia
Na ALIKUWA MPARE WA USANGI[emoji80] [emoji15] [emoji80] [emoji15] [emoji115]
mshana kwanini wawakome? kuelezea mambo ya kisenge tu imekuwa tabu kwako.Na mtukome..!!!
Mshana hafagilii mambo ya kisengemshana kwanini wawakome? kuelezea mambo ya kisenge tu imekuwa tabu kwako.
mshana jr kula [emoji109] nyelwa kissenge rip mi mzee wangu kabisa mimi ni last born wake,please have respect to him wakuuNa ALIKUWA MPARE WA USANGI[emoji80] [emoji15] [emoji80] [emoji15] [emoji115]
Hatimaye mtoto wa kisenge umejitoza? watoto wengine wa kisenge wako wapi?mshana jr kula [emoji109] nyelwa kissenge rip mi mzee wangu kabisa mimi ni last born wake,please have respect to him wakuu
wapo wengi tu mkuu dragoon,inategemeana ni yupi unaetaka kudeal nae,wapo ma dr,eg wa watoto,moyo,**** maengeneer,IT,HR,Accountants etcHatimaye mtoto wa kisenge umejitoza? watoto wengine wa kisenge wako wapi?
Hatimaye mtoto wa kisenge umejitoza? watoto wengine wa kisenge wako wapi?
wengine wanaiga utendaji wa kisengewapo wengi tu mkuu dragoon,inategemeana ni yupi unaetaka kudeal nae,wapo ma dr,eg wa watoto,moyo,**** maengeneer,IT,HR,Accountants etc
Aisee!mh hizi habari za kisenge ndio kwanzanazisikia leo jf
wapo wengi tu mkuu dragoon,inategemeana ni yupi unaetaka kudeal nae,wapo ma dr,eg wa watoto,moyo,**** maengeneer,IT,HR,Accountants etc