Kaongea vitu vingi vya uongo yaaani babu yake ndo awe anamuita dogo muongo mkubwa na Ole wake arudi



ila Wewe mchokozi sana.. unamuita muongo huku unasoma.Jamaa kashasema Kama unajua zaidi yake simulia wewe.
Au hapa kuna Wale waliokua nae mkutano wa wachawi usiku ule pale mtini?
