True men don't forget

True men don't forget

Apana, sio kila anaingia jela ni mhalifu
Kuna watu wanaiaminisha dunia kuwa mwanaume lazima ufungwe jela, yani huko jela unayoyapitia ndiyo yanakufanya uwe mwanaume kweli.

Uhalifu lisingekuwa swala la kujivunia, mlipaswa mjutie uhalifi na vifungo vyenu, badala ya kuvifanya vionekane ni sehemu ya ushujaa katika mapito ya mafanikio yenu.

Si ungi mkono hoja.
 
Hata kiswahili kinatumika. Kikristo nimetumia zaman sana kimeanza kupotea.
Japo mi ni ke nipo hapa kwa niaba ya mume wangu. Anapitia wakati mgumu sana kwa sasa. Naumia sana ila naamini hili nalo litapita.
 
Exactly there is no permanent problems, make sure u pray, akuna kukata tamaa mpka kieleweke, mm nafaham kuwa riski anaetoa ni Muumba, kheri na Shari yote ni jumla ya life katika mapambano
Hata kiswahili kinatumika. Kikristo nimetumia zaman sana kimeanza kupotea.
Japo mi ni ke nipo hapa kwa niaba ya mume wangu. Anapitia wakati mgumu sana kwa sasa. Naumia sana ila naamini hili nalo litapita.
 
Jua maana tu mkuu, nyingine mbwembwe
Halafu kikristo chenyewe kigumu kweli kweli, hapa nimepitisha masaa mawili kusoma comments na dictionary yangu pembeni.
Hiki kikristo phonetically kiko sawa ila semantically sasa ndio mtihani wenyewe. Anyways ngoja tusubiri mwendelezo.
 
Mi nilifikiri ungeweka picha ya mtu akibeba zege, kwani lazima uwe mhalifu ndio utajirike?
__________________________________________
IG: @marble_na_granite
Kwani kubeba zege ndio njia ya kutajirika?, au mbeba zege ndio mtu pekee anayehustle?
Usikariri mzee,kila mtu ana jinsi anavyo struggle mwenyewe,usichukulie poa mwingine anapoelezea changamoto zake, kwakua haujawa katika nafasi yake hivyo hauwezi jua alivyo/anavyo pambana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom