True love

True love

Alafu kudate mtoto wa chuo ni kujitafutia usumbufu tu. hawa ni kuwalisha chipsi na redbull na kuwagegeda aafu kesho anakuja na rafiki yake ambaye unampindua keshokutwa na msululu unaendelea
Hahahhaha
 
Kwani walimu sio kazi? Mchagua jembe si mkulima ww bado haina shida ya mchumba
 
Mimi ni msichana wa miaka 24 nipo chuo kwa sasa, natafuta mchumba awe na kazi yake ila siyo mwalimu asiwe mfupi wala mrefu mengine tutawasiliana baada ya kufahamiana.

Karibu PM

Hahahahahahhahahahaaaaaaaaaaaaaaaaa, huwa nafurahi sana nipitiapo post zenu warembo wa JF, yaai kwa kuji-promo hamjambo. '...kwa sasa nipo chuo, natafuta mwanaume awe na kazi yake ila asiwe mwalimu na asiwe mrefu..." Hivi ninyi wagalatia, nani kawaloga? Dah, haya bhana, komaeni mtapata, ila nawaambieni wengi wenu mtakuwa mnatombwa tu na kuachwa maana hamna hata adabu.
 
Mnataka mteremko mno, mayb kama wataka kuwa mchepuko. Yale maisha mnayoyaona kwenye bongo movie sio halisi bi dada. Yaani mtu yuko well of na kazi kipato kizuri na rijali umkute anakusubiri wewe tu! Acha pupa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom