True love

True love

caltacy

Member
Joined
Mar 1, 2015
Posts
7
Reaction score
1
Mimi ni msichana wa miaka 24 nipo chuo kwa sasa, natafuta mchumba awe na kazi yake ila siyo mwalimu asiwe mfupi wala mrefu mengine tutawasiliana baada ya kufahamiana.

Karibu PM
 
Embu onyesha basi kama kweli upo chuo jieleze ipasavyo,dadavua sifa zako na za unaemuitaji

Pia karibu Pm kwangu
 
Jaribu kutoa sifa zako watu waweze kuzioanisha na hizo unazohitaji, karib pm
 
Asiwe mwalimu awe mzibua mitaro au msimamizi huko mochwari? Mbona husemi unamtaka yukoje?
 
Asiwe mwalimu awe mzibua mitaro au msimamizi huko mochwari? Mbona husemi unamtaka yukoje?

hata kama mkufunzi Udsm ye hataki ila mzibua vyoo labda ko ngoja wadau tijitupe.
 
Alafu kudate mtoto wa chuo ni kujitafutia usumbufu tu. hawa ni kuwalisha chipsi na redbull na kuwagegeda aafu kesho anakuja na rafiki yake ambaye unampindua keshokutwa na msululu unaendelea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom