True love story where childhood friends become life partner.

Mimi simtaki tunaejuana tangu utotoni, hata tuliosoma wote simtaki, nikimpata mzee nitafurahi sana
 
siku hizi hakuna mapenzi.wanaume wanataka mwanamke mrembo,aliesoma ,alietoka familia tajiri kabila flani ,mwenye kazi. nk.wanawake nao wanataka pesa hata kama ni za ujambazi,ushirikina ,madawa ya kulevya hawajali. moyo umeachwa usukume damu tu hakuna jingine
Kweli mkuu
 
Kila la heri kwenye ndoa yao, ila Messi noma alimjaza mimba kabla hajamuoa...Kweli mapenzi hayana formula
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom