True Love In Soberness & In Drunkenness

Wamekula ng'ombe mzima mkia umewashinda.......toka kilabuni mnaishia kizingitini?
 
hapo asubuhi lazima wajikute wamejikojolea looh, na huku wakistuka housegirl ndo anataka kudeki aibuuu watasingizia aaah paka katukojolea dada hebu malizia kudeki
 
...Huyo mama anatafuta njia ya kuingia MOYONI kwa huyo jamaa!
Halafu hizi ni sura za GONGO kabisa...

Mbona kakosea njia? Geti la kuingilia moyoni lipo upande wa kushoto.
 
Reactions: awp

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…