HadithiZaRuvulyDeFinisher Member Joined Jul 14, 2022 Posts 7 Reaction score 12 Jul 14, 2022 #1 Unamkumbuka kwa asilimia ngapi katika utawala wake ?
Lusungo JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 29,492 Reaction score 42,564 Jul 14, 2022 #2 Huyu baba Mungu anisamehe sana sana maana chuki aliyoipata kutoka moyoni mwangu haikumstahili kabisa kabisa. Mungu uniwie radhi.
Huyu baba Mungu anisamehe sana sana maana chuki aliyoipata kutoka moyoni mwangu haikumstahili kabisa kabisa. Mungu uniwie radhi.
HadithiZaRuvulyDeFinisher Member Joined Jul 14, 2022 Posts 7 Reaction score 12 Jul 14, 2022 Thread starter #3 Lusungo said: Huyu baba Mungu anisamehe sana sana maana chuki aliyoipata kutoka moyoni mwangu haikumstahili kabisa kabisa. Mungu uniwie radhi. Click to expand... Mmmmh
Lusungo said: Huyu baba Mungu anisamehe sana sana maana chuki aliyoipata kutoka moyoni mwangu haikumstahili kabisa kabisa. Mungu uniwie radhi. Click to expand... Mmmmh
manumbu1 JF-Expert Member Joined Jul 4, 2012 Posts 715 Reaction score 407 Jul 14, 2022 #4 Lusungo said: Huyu baba Mungu anisamehe sana sana maana chuki aliyoipata kutoka moyoni mwangu haikumstahili kabisa kabisa. Mungu uniwie radhi. Click to expand... Sikuwahi kumpenda.
Lusungo said: Huyu baba Mungu anisamehe sana sana maana chuki aliyoipata kutoka moyoni mwangu haikumstahili kabisa kabisa. Mungu uniwie radhi. Click to expand... Sikuwahi kumpenda.
Killa Cam JF-Expert Member Joined Jun 12, 2022 Posts 2,762 Reaction score 7,758 Jul 14, 2022 #5 Jpm alikuwa kiongozi mzuri lakini tatizo lake alikuwa anaona yeye ndio mwenye kauli ya mwisho tena hahitaji ushauri. Kiongozi ni kama dawa hutibu maradhi lakini pia inaweza kukupa maradhi(side effects)
Jpm alikuwa kiongozi mzuri lakini tatizo lake alikuwa anaona yeye ndio mwenye kauli ya mwisho tena hahitaji ushauri. Kiongozi ni kama dawa hutibu maradhi lakini pia inaweza kukupa maradhi(side effects)
mbalizi1 JF-Expert Member Joined Dec 16, 2015 Posts 21,944 Reaction score 43,358 Jul 15, 2022 #7 Negative zero
Muuza viatu JF-Expert Member Joined May 14, 2020 Posts 3,839 Reaction score 7,924 Jul 15, 2022 #8 HadithiZaRuvulyDeFinisher said: Unamkumbuka kwa asilimia ngapi katika utawala wake ?View attachment 2290568 Click to expand... Alijitendea haki nyakat za korona kwa
HadithiZaRuvulyDeFinisher said: Unamkumbuka kwa asilimia ngapi katika utawala wake ?View attachment 2290568 Click to expand... Alijitendea haki nyakat za korona kwa
AFRICAN POWER Senior Member Joined Jun 17, 2022 Posts 151 Reaction score 236 Jul 15, 2022 #9 Lusungo said: Huyu baba Mungu anisamehe sana sana maana chuki aliyoipata kutoka moyoni mwangu haikumstahili kabisa kabisa. Mungu uniwie radhi. Click to expand... Khaa!
Lusungo said: Huyu baba Mungu anisamehe sana sana maana chuki aliyoipata kutoka moyoni mwangu haikumstahili kabisa kabisa. Mungu uniwie radhi. Click to expand... Khaa!
Lusungo JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 29,492 Reaction score 42,564 Jul 15, 2022 #10 AFRICAN POWER said: Khaa! Click to expand... Naamini Mungu amenisamehe