Mimi nadhani hawakupewa nafasi. Lawana zisukumizwe si kwao bali mamlaka makuu aka serikali. Tumeleweshwa mvinyo wa uwekezaji kiasi kwamba tunasahau kuwa hata sisi tunaweza...hawa wanakumbuka shuka wakati majogoo yanawika.
..kwanini hawakukarabati hizo engines kabla ya Wahindi kuamua kukodisha toka India?
mbona hatuna utamaduni wa kuwapa nafasi wataalamu wetu ndo maana hata hao wametuonyesha kama wanaweza,suala la kusema walikuwa wapi sio sahihi labda saa hizi ndo wamepewa nafasi tutajuae? Nawapa hongera na waendelee na moyo huohuo..hawa wanakumbuka shuka wakati majogoo yanawika.
..kwanini hawakukarabati hizo engines kabla ya Wahindi kuamua kukodisha toka India?
Jokakuu:
Hata mimi najiuliza. Hivi hii imefanyika kama public stunt au moyo wa kizalendo.
Na kama ni moyo wa kizalendo basi ulitakiwa kuwepo kabla.
Omarilyas said:Mwenzenu natatizwa sana na hii dhana ya Uzalendo wa hawa ndugu ambao miaka yote ndio waliokuwa wakisabotage shirika lao. Wao ndio waliokuwa wamegeuza karakana za TRC kuwa karakana za shughuli zao binafsi, ni hawahawa ndio waliokuwa wakiharibu hizo engine za treni ili wapate tenda za kufanyia matengenezo na overtimes, ni hawahawa ndio waliokuwa wakiliibia TRC katika mauzo ya ticket, ni hawahawa walikuwa wakithubutu kuangusha treni ili kushinikiza madai yao ambayo mengi yalikuwa ni ya kidanganyifu, ni hawahawa ndio walikuwa wakiwanyanyasa wasafiri wa treni haswa mabinti wa shule, ni hawahawa waliokuwa mabingwa wa kibia treni zao dizeli na mengine hovyohovyo mengi....
Uzalendo my a$$$,hawa wamekuwa na shirika likawafia mikononi mwao,na sio siri these as$$es kwa uzembe,rushwa na kutowajibika ndio maana shirika limekufa,anyway sasa wanapoteza kazi zao na hawana pa kula ndio wanakuja na stunt zao za danganya toto...hili shirika lingeuzwa lote 100% kwa mtu competent na serikali isingejiingiza na kutoa pesa ya aina yeyote,hawa wapuuzi acha warudi barabarani wawe ombaomba tuu na hao matapeli wa RITES wachukue hiyo 50% watimue zao shirika lianze upya kabisa!