TRL (SGR) wakazi wa Pugu station hatuwaelewi

Jan 26, 2015
41
13
Habari wana jamvi humu.siku kadhaa sasa zimepita tangu hawa watu wa reli ya umeme sgr wapite mtaani kwetu na kutuwekea alama ya kutakiwa nyumba zetu tubomowe kwa kuwa mradi wa huu wa train ya umeme unapita kwenye maeneo yetu hapa pugu station na kwa maelezo yao hatutakiwi kufanya jambo lolote kwenye maeneo waliyoweka alama zao mpaka tukishalipwa tuondoke.

Cha kushangaza tangu siku wameweka hizo alama mpaka leo hakuna taarifa yoyote ambayo wameleta kwamba labda kitu gani kinafanyika tunashindwa kufanya mambo ya maendeleo baada ya zuio lile.

Sisi wakazi wa maeneo haya tunaomba TRL watujuze kitu gani kinaendelea na kama ikiwezekana waje kufanya mkutano na sisi wakazi ili tuwe tunajuwa hatima yetu maana saa hizi tumekaa tu.

Kwenye kibanda changu nilikuwa na wapangaji wanne wote wameondoka baada ya kutaka kodi yao warudishiwe.

Nawasilisha.

Mwenye kujua chochote tafadhali nijuze kwa niaba ya wenzangu.
 
HUNA HAKI YA KUTUULIZA SISI WEWE..SISI KAZI YETU NI KUKUONDOA WAKATI WOWOTE TUNAPOAMUA HIVYO USITUPANGIE.HUJUI ARDHI YOTE NI YA SERIKALI NA WEWE NI MPANGAJI TU

Habari wana jamvi humu.siku kadhaa sasa zimepita tangu hawa watu wa reli ya umeme sgr wapite mtaani kwetu na kutuwekea alama ya kutakiwa nyumba zetu tubomowe kwa kuwa mradi wa huu wa train ya umeme unapita kwenye maeneo yetu hapa pugu station na kwa maelezo yao hatutakiwi kufanya jambo lolote kwenye maeneo waliyoweka alama zao mpaka tukishalipwa tuondoke.Cha kushangaza tangu siku wameweka hizo alama mpaka leo hakuna taarifa yoyote ambayo wameleta kwamba labda kitu gani kinafanyika tunashindwa kufanya mambo ya maendeleo baada ya zuio lile.Sisi wakazi wa maeneo haya tunaomba TRL watujuze kitu gani kinaendelea na kama ikiwezekana waje kufanya mkutano na sisi wakazi ili tuwe tunajuwa hatima yetu maana saa hizi tumekaa tu.Kwenye kibanda changu nilikuwa na wapangaji wanne wote wameondoka baada ya kutaka kodi yao warudishiwe..Nawasilisha.Mwenye kujuwa chochote tafadhali nijuze kwa niaba ya wenzangu.
 
anza kuhama ndugu.. tena hapo kwenu kama kuna mwenye bendera ama shina la chadema liondoeni mapema kabisa kabla mzee shithole hajatuma vijana wake hapo na kupaweka flat
 
Maskini ......unategemea kulipwa. Ulipwe umeuza nini ? Chukua jembe ukalime . Ukicheza bao ukitegemea kulipwa utapigwa bao
 
Habari wana jamvi humu.siku kadhaa sasa zimepita tangu hawa watu wa reli ya umeme sgr wapite mtaani kwetu na kutuwekea alama ya kutakiwa nyumba zetu tubomowe kwa kuwa mradi wa huu wa train ya umeme unapita kwenye maeneo yetu hapa pugu station na kwa maelezo yao hatutakiwi kufanya jambo lolote kwenye maeneo waliyoweka alama zao mpaka tukishalipwa tuondoke.

Cha kushangaza tangu siku wameweka hizo alama mpaka leo hakuna taarifa yoyote ambayo wameleta kwamba labda kitu gani kinafanyika tunashindwa kufanya mambo ya maendeleo baada ya zuio lile.

Sisi wakazi wa maeneo haya tunaomba TRL watujuze kitu gani kinaendelea na kama ikiwezekana waje kufanya mkutano na sisi wakazi ili tuwe tunajuwa hatima yetu maana saa hizi tumekaa tu.

Kwenye kibanda changu nilikuwa na wapangaji wanne wote wameondoka baada ya kutaka kodi yao warudishiwe.

Nawasilisha.

Mwenye kujua chochote tafadhali nijuze kwa niaba ya wenzangu.
mtafute afsa mtendaji anaweza kukupa dondoo miradi ya serikali inachelewa sn kulipa fidia mi nilikaa miaka sita kupata fidia
 
Back
Top Bottom