Triple "C", CHAMA, ndani ya Msimbazi, Sakho nje!

mshale21

JF-Expert Member
Apr 8, 2021
2,049
4,904
Shuhudia hapa
IMG_20211220_082730.jpg
 
Chama akirudi Bongo, iwe kwa Simba au Yanga, nitamuona wa ajabu sana. Hivi inakuwaje unafanikiwa hadi kusonga mbele, then ghafla unaamua kurudi nyuma sababu ya changamoto ndogo ndogo. Waafrika wa kusini mwa jangwa la sahara tunapenda sana kutukuzwa, ilhali ni wavivu. Chama yafaa apiganie namba, akomae asonge mbele, huku anapotaka kurudi hakuna jipya. Kwanza bongo mpira unachezwa na marefa, sio wachezaji. Mara Yanga wanapewa penati ya uongo na kweli ilimradi wasipoteze mechi AU goli la timu pinzani likataliwa ilimradi Simba asipoteze ushindi wake.

Ligi ambayo board ya ligi inazijali timu mbili tu. Ni kawaida kuona timu zingine zinacheza mpira saa 8, jua likiwa kali. Ila wafalme Simba na Yanga hawawezi kutana na hali hiyo.

Yani huku bongo kwa mchezaji mwenye akili na uwezo hawezi kubali kubaki miaka yote.
 
Wachezaji dizaini ya CHAMA, Emmanuel Okwi, Haroun Moshi Boban ni vigumu kutoboa. Wana tabia ya kupenda kunyenyekewa,sifa na attention toka kwa mashabiki. Hawawezi kukaa kwa jamii kama za kiarabu na kizungu ambayo hakuna mtu wa kukushobokea na hasa unapokuwa-underperfom,unaishi kwenye apartment pekee yako,hakuna ofa za bure za mafuta, mitaani au bia kwenye baa au klabu,huandikwi mitandaoni au magazetini,hakuna kiongozi wa kukubembeleza,,unakatwa posho au kupigwa faini usipohudhuria au kutoripoti mazoezini au kambini on time n.k

Isitoshe mpira wa Chama ni wa taratibu,hawezi kwendana na mpira wa kasi wa waarabu. Aje tu...Simba
 
Chama akirudi Bongo, iwe kwa Simba au Yanga, nitamuona wa ajabu sana. Hivi inakuwaje unafanikiwa hadi kusonga mbele, then ghafla unaamua kurudi nyuma sababu ya changamoto ndogo ndogo. Waafrika wa kusini mwa jangwa la sahara tunapenda sana kutukuzwa, ilhali ni wavivu. Chama yafaa apiganie namba, akomae asonge mbele, huku anapotaka kurudi hakuna jipya. Kwanza bongo mpira unachezwa na marefa, sio wachezaji. Mara Yanga wanapewa penati ya uongo na kweli ilimradi wasipoteze mechi AU goli la timu pinzani likataliwa ilimradi Simba asipoteze ushindi wake.

Ligi ambayo board ya ligi inazijali timu mbili tu. Ni kawaida kuona timu zingine zinacheza mpira saa 8, jua likiwa kali. Ila wafalme Simba na Yanga hawawezi kutana na hali hiyo.

Yani huku bongo kwa mchezaji mwenye akili na uwezo hawezi kubali kubaki miaka yote.
Ila makambo alivyorudi fresh.....
 
Utopolo walikua wana mmezea mate chama na walitamani akirudi bongo moja kwa moja afikie jangwani, ila ndo hivyo tena imeshindikana kwahiyo kupoza machungu wanaamua kutema nyongo na kejeli kibao wakati kiuhalisia yanga hii wanayoona imeimarika kwenye first eleven yao sijaona wa kumuweka nje clatous chama, hapo hapo wanasahau kuwa hata wao wenyewe wamemrudisha makambo ambaye Kawa zaidi ya garasa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom