Pape Osumane Sakho aitwa kikosi Cha taifa Senegal kwenda kutumbuiza (kuruka mayenu) Kama alivyofanya Mwanzo.

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
10,206
12,738
Kiungo nyota wa Wekundu wa Msimbazi Pape Sakho ameitwa kwa mara nyingine kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Senegal kitakachocheza dhidi Benin na baada mchezo wa kirafiki dhidi ya Brazil

Sakho amejumuishwa kwenye kikosi cha Simba hao wa Teranga kilichosheheni wachezaji nyota wanaosakata soka sehemu mbalimbali Duniani.
Screenshot_20230602-175846.jpg
 
Haijalishi hata Morison pia anacheza mayenu vizuri tuu huko Avic...ila kipaji anacho hana???
Tukiongea Facts na sio mbambamba
Kazi ya kubwa kwenye kikosi Cha Senegal ni kwenda kumchekesha sadio mane.
 
Ila twende mbele turudi nyuma uelewa wa mambo wa Wabongo ni mdogo sana mithili ya chembe ya haradali. NO OFFENCE.
 
Back
Top Bottom