Trip hii akuna vunja jungu???

vunjaa junguuu ni nini....niyulee mduduu,hivi linavunjwaa je kwa jiwe au kwa chuma....na inakuwa na faida gani.mi mgeni
 

hahahahaaaaaaa!!siku hizi
jungu tunavunja nyumbani na watoto wetu!!
 
asante Pdidy
mambo ya kuvunja jungu sijui ya kazi gani!!!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…