Habari wandugu
dhumuni la thread hii ni kuwaomba ushauri au.mbinu za kumuacha mtu bila kumuumiza. Na relation iliyokaa muda. Plz matuc kejeli vumilia nisaidieπππ
...Fanya mpango akuache yeye uone kama hautaumia...
Habari wandugu
dhumuni la thread hii ni kuwaomba ushauri au.mbinu za kumuacha mtu bila kumuumiza. Na relation iliyokaa muda. Plz matuc kejeli vumilia nisaidieπππ
hebu eleza sababu kwanza za kutaka kumwacha itatusaidia kukupa ushauriHabari wandugu
dhumuni la thread hii ni kuwaomba ushauri au.mbinu za kumuacha mtu bila kumuumiza. Na relation iliyokaa muda. Plz matuc kejeli vumilia nisaidieπππ
Hahahaaa mbeibs wa ukwee akiwasha moto ye aongeze petroli??? Sawasawa!!Mtumie message tu moja ya tigo ataelewa
Muombe Min Kabaang