Treni yaishiwa wese kama daladala | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Treni yaishiwa wese kama daladala

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by M'Jr, Mar 27, 2012.

 1. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #1
  Mar 27, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Dah eti treni ya abiria toka Mpanda kwenda Tabora iliishiwa mafuta njiani usiku wa manane "Yaani kama daladala"
   
 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  Mar 27, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  hawana kidumu wakanunue wese?
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Mar 27, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  yaani filamu za nchi hii zinashangaza, afu naibu waziri anasema apewe ripoti baada ya wiki 2?
  Mie nilidhani ataomba ndani ya siku 2 au 3.

  Afu bohari ya serikali wamechakachua wese magari yanazimika.

  Afu january ndo msemaji wa sekta hiyo au ni kule kuwa mwenyekiti wa kamati ya nishati na madini?
  Why not Ngereja kuongelea hilo?
  Wanajaribu kuficha nini.

  Yaani hapa kuna bonge la filamu, stering awe densel washngton.
   
 4. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #4
  Mar 27, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Hizi zinaitwa tik tak danganya toto.
  Anataka ripoti ni kwann konda hakubeba kidumu
   
 5. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #5
  Mar 27, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  hizi sanaa zinachosha huko kweny nishati na madini na kwenye ardhi kuna tiktak za kuudhi nafsi....

  Halafu january mie aijaelewa ameongea kwa niaba ya tanesco akiwa kama nani.....uwenyekiti wa kamati una mamlaka gani ya kuongea as if yeye ndo MD wa Tanesco??????

   
 6. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #6
  Mar 27, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hiyo inaitwa ukistaajabu ya musa...
   
 7. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #7
  Mar 27, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Tehe tehe, hii awamu ya nne ina vichekesho vingi sana
   
 8. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #8
  Mar 27, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Hii ni aibu jamani!!!Kila siku 'wanatoa single mpya'!!
   
 9. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #9
  Mar 27, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,726
  Likes Received: 446
  Trophy Points: 180
  leteni habari laini wakuu,hizi ishu za tz zimeshatuumiza kichwa sana.
   
 10. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #10
  Mar 27, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Utayaona ya Firauni
   
 11. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #11
  Mar 27, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Wana talent za hatari asee!
   
 12. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #12
  Mar 27, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Lol... Mpaka raha jamani...nimeona kwenye habari tbc1 nkastaajabu!
   
 13. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #13
  Mar 27, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Pole sana na usipoangalia ipo siku litachomoka tairi
   
 14. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #14
  Mar 27, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  mie sijui nani kampa kiburi kikubwa hivi huyi bwana mdogo.

  Anaonekana ndo anaendesha wizara ya madini.
   
 15. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #15
  Mar 27, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Unajua si tumezoea kila cku vituko, siku vikikosekana tutastaajabu
   
 16. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #16
  Mar 28, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  kwa kweli, wanachojua kuwapa pande barrick tu,
   
 17. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #17
  Mar 28, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Si unajua this counctry never fail to amaze me asee, you will never know who is who
   
 18. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #18
  Mar 28, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Nilistaajabu sana....treni ati imeshiwa mafuta tena ikiwa kati kati ya msitu na ni saa nane usiku.....bwahahahahahaha only in tizoo......

  alafu yule boss wa ewura anasema mafuta yakikaribia kuisha yanakuwa na maji...anatetea sheli kuuza mafuta yenye maji.....mazafaka kabisa mijitu mingine inakera sana.....pumbaaaaaafu....kwa hiyo ni jambo la kawaida
   
Loading...