Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 24,432
- 29,974
Mbona tayari na mabehewa tuliyaona yakitembea toka bandarini, wewe utakua ulikua Mloka.Ule mradi wa SGR dar to Moro umeishia wapi??
Mbona tayari na mabehewa tuliyaona yakitembea toka bandarini, wewe utakua ulikua Mloka.Ule mradi wa SGR dar to Moro umeishia wapi??
Huu Nao Ni Upuuzi Mwingine Wa Serikali Na Viongozi Wetu Hivi Mradi Umezungumzwa Miaka Tele Mpaka Reli Inapata Kutu Na Majani Yameota Humo, Miti Midogo InakuwaUle mradi wa SGR dar to Moro umeishia wapi??
Uliyaona Wapi?Mbona tayari na mabehewa tuliyaona yakitembea toka bandarini, wewe utakua ulikua Mloka.
Ule ni mradi wa hovyo bora wangejenga barabara njia 4 mpaka Tunduma, Mwanza na Arusha kwa kuanzia. Ile reli hata ikiwa tayari matajiri wa nchi hii wataihujumu tu hawatakubali wapoteze biashara yao ya mabasi na malori. Tuombe uzima tushuhudieUle mradi wa SGR dar to Moro umeishia wapi??
Acha upumbavu, Masanja kadogosa ndio mtoa pesa au yeye ndio anayekwamisha? Je kama na yeye ni mjumbe na anapokea order kutoka serikali kuu, tumia ubongo kufikiri, lia na serikali yako ya Rais Samia , ikibidi huyo Mbalawa ndio aachie ngazi.Huu Nao Ni Upuuzi Mwingine Wa Serikali Na Viongozi Wetu Hivi Mradi Umezungumzwa Miaka Tele Mpaka Reli Inapata Kutu Na Majani Yameota Humo, Miti Midogo Inakuwa
Ukweli Usemwe Hii Reli Italeta Aibu Kubwa Sana, Hivi Huyu Waziri Wa Ujenzi Professor Mbalawa Ameshindwa Kumtimua Masanja Kungu Kadogosa Hapo
Hata Dar Es Salaam ~Morogoro Imeshindwa Kuanza Kutembea Ili Tuone
Je Huko Kigoma Walikoupeleka Mradi Utafika Baada Ya Miaka 50
Viongozi Wapo, Mnakwenda Kupongezana Vitu Vya Msingi Hawaviwezi
Angekuwa Mzilankende Ingetembea Lazima Ila Sasa Sounds Nyingi Mno
Mkuu hili tumeulizia sana tangu ile Nov 2019 waliposema safari za Dar-Moro zingeanza, tumeamua kupiga kimya tu, maana huchelewi kuitwa sukuma gang....Ule mradi wa SGR dar to Moro umeishia wapi??