Treni ya Mwakyembe

mkurugenzi1

Senior Member
Mar 22, 2009
122
28
Huna ndugu aliyepanda treni la Mwakyembe? inasemekana dereva kajisahau alijua ni longtrip,sasa hivi wako Makambako ndo wanarudi tena Dar.
 
Mbona nasikia brek ziligoma hivi sasa wapo kapilimposhi Zambia, nazingua.

Near by Kabwe Mbeya
 
Hivi treni la mwakyembe ni tazara au reli ya kati? na kama ni reli ya kati huwa haipiti makambako!!
 
Na lile lililopitiliza hadi limetumbukia ziwa Tanganyika! Lah, watu waongo sana.
 
Back
Top Bottom