Treni mpya za jijini Luanda, Angola

Treni za Dar ni ndoto manake waliopanga ramani ya mji sijui walikuwa wanawaza nn.wenzetu wako makini mpaka inatia hasira
 
Mbona na nini mmenunua ndege? Si zitakuja soon, mambo kidogo kidogo wazee
 
Pamoja na mapungufu yao ya hapa na pale lazima tukubali kwamba Wachina wameleta mapinduzi mabukwa kwenye nyanja za usafiri Barani Africa - wamejenga reli katika nchi zifuatazo: Nigeria, Angola, Kenya, Ethiopia, Mali, Congo Brazzavile nk. Ujenzi wa railway stations nchini Angola ni mzuri sana nafikiri kuna umuhimu wa Serikali yetu kuwatumia makandrasi wa Kichina waliojenga Stations za Angola kuja nchini mwetu kutujengea Railway stations za reli ya kati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…