Treni linauzwa bei sawa na bure

Ok ila hapo uliposema mnapeleka popote mmeniacha hoi.. Yani hata kama hakuna njia yake mnapeleka? BTW sidhani kama China bado kuna hizo version... Anyway ni biashara... Wahitaji watakuja

Jr[emoji769]
Wanakuuzia treni halafu ukalipitishe kwenye reli ya nani?

Hapo unauziwa godoro halafu unanyimwa usingizi
 
nipo shimbumbu uku vip mnatuma mikoani??
 
Hivi hizo bilioni mnazotaja na kuziandika ni za nchi gani?
 
Tatizo inatokea Wuhan China. Itapita inspection kweli?? Pia lazima siku 14 au miezi 14 karanteeni. Sasa nitapewa lini kifungua kinywa?
 
Labda ning'oe engine niifunge kwenye fuso

Sent using Soviet T-72 Main Battle Tank
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…