Treni lenye route ya stesheni mpaka Ubungo maziwa likiwa na mabehewa sita limewaacha abiria zaidi ya 1000 waliokua wakisubiri kupanda katika kituo cha kamata.abiria hao ambao wengi wao wametokea kariakoo wamesubiri treni hilo kwa muda wa Saa nzima treni limekuja toka stesheni likiwa tayari limejaa.nimeongea na baadhi ya abiria wamesema kuna umuhimu mkubwa wa mabehewa kuongezwa.nadhani TRL wamepiga mahesabu madogo sana.
...Hao NSSF wanakopeshwa pesa yetu hovyo hovyo then wakopaji wanazingua kurejesha. Sasa wanatuletea story za mafao mpaka miaka 55. wakatafute pesa sehemu nyingine bhana!!sio wote 5 mil..wanaishi UBUNGO CHAMUHIM LAZIMA RELI ZIWE 2 THE TREN KILA DAKIKA 20 IJE NYINGINE HAPO KIDOGO ITASAIDIA KUPUNGUZ kelo waonge na NSSF waongezee mtaji kwani gharama zitarudi mapema
Hiyo ni changamoto mkuu siunajua tena mwanzo mgumu.
sio tu kuacha kupanda daladala,usafiri wa treni ukikaa vizuri na ratiba zinazoeleweka nazisizobadilika watu wataacha magari yao nyumbani watapanda treni.magari yatabaki kwa ajili ya weekend kuendea beach.Si tu kuongeza mabehewa, inatakiwa pia ziongezwe route, na reli, ikiwezekana hizo treni ziwe zinapishana. Maana kwa sasa inakuwa shida sana kusubiri treni moja hadi iende hukuo na kurudi. Naamini watu wengi kwa sasa wataamua kutumia treni kuliko daladala ambazo kiuhalisia zimekuwa na kero nyingi.