Trends, Visions: Watanzania msitatizwe na kauli zake kuhusu Katiba, baada ya Nyerere, ni Magufuli ndiye ataacha legacy kubwa ikiwemo Katiba Mpya!

Wanabodi, kwa vile Mwendazake kenda zake bila hili kutimia, then aliyempokea hili atalikamilisha.

Jana katika kuapisha, alitaja Bunge la Katiba kwa makosa. Kiukweli sio makosa bali ni sauti kutoka ndani yake. Hivyo sasa ni Samia ndio atalimiza hili la kutuachia katiba mpya, ila sio katika awamu yake ya kwanza, bali katika awamu yake pili.

Just rejoice.

Nawatakia Ijumaa Kuu njema.
P
 
Amini nakuambia, kama Mungu asingemuita, hili lingetokea.
Hahahahahahaha mie sijui kuremba ukiandika upuuzi kwanini nifiche? Lini uliwahi kukemea matusi ya nguoni ya dikteta na kudhalilisha wake kwa waume? Mchumia tumbo ni lazima aanikwe hadharani hakuna KUREMBA. Au matusi ya dikteta hukuwahi kuyasikia?
Karibu pande hizi.
Vipi na hapa nasifu?.
P
 
Bandiko Bora sana Kutoka Kwa P.

Suala la KATIBA mpya pia nimeiona linatimia ktk Awamu yake ya pili hata km hayupo.

Blessed be the eyes that see.

Ameeen.
 
2026 unatajwa ktk unabii ndo mwaka wa kupatikana KATIBA mpya.

Swali: Je, 2025 patakuwa na uchaguzi????

Jibu. Uchaguzi 2025 utayeyuka.

Tusubiri..
 
Aliwahi kuutaja 2026 kuwa ndo mwaka ambao mchakato wa KATIBA utaanza.

Bt hakujua sauti ndani yake inautaja kuwa ni mwaka wa kupatikana Kwa KATIBA mpya.

Ameeeen.
 
Hapo sasa!.
Mikutano ya siasa rukhsa
Sheria mbalimbali zitarekebishwa na mwisho
Mchakato wa katiba mpya kukwamuliwa!.
P
 
Wewe Jamaa ni mnafiq,mjinga na mtoa roho...wewe umeshiriki hata kuua Watanzania wenzako kipindi cha Jiwe.Mungu ataleta laana kwenye vizazi vyenu kwa wakati wake!
Kutoka "noma sana"
Hadi kuandika paragraph aaa umechafukwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…