Trend ya vifo

Trend ya vifo

NATA

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2007
Posts
4,492
Reaction score
1,313
Wazazi tusiwaseme watoto walio feli naona watoto wanazidi kujinyonga tujaribu kuliangalia hii kitu kama janga kwani watoto ni wengi sana waliofeli.

Sasa tukianza kuwa shukia watoto itatugharim watoto wengine uwezo wao wakupokea mambo ni mdogo.
Hivyo tuajaribu kutafakali zaidi badala ya kuwalaaum watoto!
 
Ni kweli NATA, watoto wengi tayari wanaumia na matokeo hayo; haisaidii kuendelea kuwananga zaidi kama wazazi ambao tunapaswa kuwa nao katika shida na raha tunapaswa kuwatia moyo na kuwaambia "sio mwisho wa dunia".
 
Last edited by a moderator:
Watoto wanaiogopa mitihani kuliko wanavyo ogopa mimba, lakini ukiwaambia wazingatie masomo hawataki.
Majibu yakitoka wanakimbilia kujunyonga. shenzi taipu
 
Hapo ndipo inabidi tutafakali zaidi kwanini wanaiogopa, tujaribu kuwajengea mazingira yakutoiogopa,.
Na pia sisi wazazi tujaribu kujitafsiri ni kwa namna gani tunawajengea watoto wetu mazingira ya kufaulu.

Wazazi wengi tumejibweteka na hatujari kabisa uwepo wa shule za wanetu na huyu mgeni TV , FB nk ndio basi tena mzazi unamruhusu form 4 kuwa na sim na anachart usiku mzima atasoma sangapi?
 
Tatizo la hawa watoto ni kukosa uangalizi wa karibu, baba akitoka saa kumi na moja alfajiri anarudi saa tano na nusu usiku.
Mama naye akitoka kazini akiingia tu ndani, anakutana na majukumu ya nyumbani,
muda wote watoto wapo wenyewe na kiongozi wao ndugu TV akisaidiwa na wenzake facebook na simu za mkononi.Hamna wa kwenda shulenui kufuatilia maendeleo yao mara kwa mara, hamna anayekagua madaftari, yaani wanaishi kama kunguru wa Zanziberi.
Mzazi anachojua ni kulipa ada tu, sasa matokeo yakitoka ndipo hapo mzazi hamaki inapokukumba, lahaula bakwata kijitoto changu kime score channel O ileile kiliyokuwa kikipenda kuiangalia kwenye DSTV

Hivi umefanya uchunguzi waliofanya vizuri wanasoma shule za kutwa au boarding? Maana to some extent soln ya hiyo ya kukosa uangalizi ni shule za bweni as watoto wanakuwa na limited acces ya phones, internet and TV.
Mimi naongea na mwanangu once per month pale mwalimu wake wa darasa anapotoa simu yake ili watoto wawabeep wazazi wao.
 
Back
Top Bottom