Here we
Jinga unajuwa ww unaamini baba jeska hakuwemo kwenye serikali zote mbili zilizopita tena kwenye chombo kikubwa cha maamuzi yaani baraza la mawaziri na bunge kwahiyo huwezi kumuondoa kwenye uchafu wowote ule
Wapinzani wa serikali ni kama vile wameishiwa hoja na matokeo yake wanajaribu bila mafanikio kuikwaza serikali bila kujali au kujua kazi nzito inayofanywa na serikali kupitia vyombo hivyo hivyo kuiweka nchi salama.
Wapinzani walishawahi na wanaendelea kuituhumu idara ya ya polisi huku wakiacha mazuri lukuki yaliyofanywa na polisi baada ya uhuru.
Pia wapinzani waliwahi kulituhumu jeshi letu JWATZ eti lilijihusisha na uchaguzi wa Rais na wabunge kuwaminya.
Baada ya JWTZ kutulia na kutojali sasa wameanza kuwashutumu TISS eti wana mpango wa kuteka wabunge.
Hili likiisha wataendelea kuwatuhumu JKT na Magereza.
Hebu wapinzani tujifunze kuwa wakweli na wazalendo kwa nchi yetu.adui yenu ni CCM na njia ya kupambana na CCM ni kupitia boksi la kura baada ya kuwasilisha sera na utendaji mbadala wa jinsi ya kuiendeleza Tanzania.
chondechonde team kimambii msiharibu mada ya magreat thinkers!!this is not insta...ni JF
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Hao ndio wanaohusika na usalama wa Taifa ambapo wewe unapata fursa ya kutoa maoni mbalimbali.Nifungueni akili hivi hao ndio wanahusika na kumtishia bastola waziri Nape Nnauye? Je wanahusika na kumpiga risasi 32 mhe Tundu Lisu? Je huku ndiyo usalama?
Mkuu jingalao naona wamekuachia thread yako na wajinga wenzioWapinzani wa serikali ni kama vile wameishiwa hoja na matokeo yake wanajaribu bila mafanikio kuikwaza serikali bila kujali au kujua kazi nzito inayofanywa na serikali kupitia vyombo hivyo hivyo kuiweka nchi salama.
Wapinzani walishawahi na wanaendelea kuituhumu idara ya ya polisi huku wakiacha mazuri lukuki yaliyofanywa na polisi baada ya uhuru.
Pia wapinzani waliwahi kulituhumu jeshi letu JWATZ eti lilijihusisha na uchaguzi wa Rais na wabunge kuwaminya.
Baada ya JWTZ kutulia na kutojali sasa wameanza kuwashutumu TISS eti wana mpango wa kuteka wabunge.
Hili likiisha wataendelea kuwatuhumu JKT na Magereza.
Hebu wapinzani tujifunze kuwa wakweli na wazalendo kwa nchi yetu.adui yenu ni CCM na njia ya kupambana na CCM ni kupitia boksi la kura baada ya kuwasilisha sera na utendaji mbadala wa jinsi ya kuiendeleza Tanzania.
chondechonde team kimambii msiharibu mada ya magreat thinkers!!this is not insta...ni JF
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Kwani vita ya wapinzani ni kwaajili ya kushikiwa bastola nape wew haujielewi wachanganya vumbi na unga ili usonge ugali eeew ndio tatzo la kuwa nyumbuSo wapinzani ndio walimshikia Nape Bastola? Shame on you funga bakuli lako sio lazima kuongea
Bahati mbaya sana tunapenda kujifucha nyuma ya kuwalaumu wapinzani hata katika mambo ya msingi. Binafsi nafikiri ni vizuri kusikiliza kwa makini yasemwayo na upande wowote. Mabaya yashughulikiwe. Narejea tena Rais wetu kampeni yake ilikuwa katika yaleyale yaliyosemwa na wapinzani na anayatekeleza. Wote tukifurahi.Wapinzani wa serikali ni kama vile wameishiwa hoja na matokeo yake wanajaribu bila mafanikio kuikwaza serikali bila kujali au kujua kazi nzito inayofanywa na serikali kupitia vyombo hivyo hivyo kuiweka nchi salama.