jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 35,951
- 29,533
Wapinzani wa serikali ni kama vile wameishiwa hoja na matokeo yake wanajaribu bila mafanikio kuikwaza serikali bila kujali au kujua kazi nzito inayofanywa na serikali kupitia vyombo hivyo hivyo kuiweka nchi salama.
Wapinzani walishawahi na wanaendelea kuituhumu idara ya ya polisi huku wakiacha mazuri lukuki yaliyofanywa na polisi baada ya uhuru.
Pia wapinzani waliwahi kulituhumu jeshi letu JWATZ eti lilijihusisha na uchaguzi wa Rais na wabunge kuwaminya.
Baada ya JWTZ kutulia na kutojali sasa wameanza kuwashutumu TISS eti wana mpango wa kuteka wabunge.
Hili likiisha wataendelea kuwatuhumu JKT na Magereza.
Hebu wapinzani tujifunze kuwa wakweli na wazalendo kwa nchi yetu.adui yenu ni CCM na njia ya kupambana na CCM ni kupitia boksi la kura baada ya kuwasilisha sera na utendaji mbadala wa jinsi ya kuiendeleza Tanzania.
chondechonde team kimambii msiharibu mada ya magreat thinkers!!this is not insta...ni JF
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!