TREKTA LA KUKODI LINAHITAJIKA

Malikauli

Senior Member
Joined
Mar 3, 2012
Posts
150
Reaction score
114
Wasalaam wana jamvi. Ninahitaji trekta la kukodi kwa ajili ya kulima. Shamba lipo kidomole, Bagamoyo. Ni hekari zipatazo 20, kwa mwenye treks naomba ni PM ukitaja na gharama yako kwa kila hekari. Hata kama hauna trekta ila una namba ya mtu mwenye trekta maeneo hayo nisaidie itanifaa.
Asanteni
 
Npgie 0718093225
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…