AsanteWanakuja mpendwa wangu
Habari ya siku.
Samahani sana, nini Treatment ya "Chronic Epididymitis"? Antibiotics zipi au combination ipi ya dawa inaweza kumaliza hilo Tatizo
Common treatments include:Habari ya siku.
Samahani sana, nini Treatment ya "Chronic Epididymitis"? Antibiotics zipi au combination ipi ya dawa inaweza kumaliza hilo Tatizo
Za asili nimetumia nyingi sana ila bado.Common treatments include:
- antibiotics, which are administered for 4 to 6 weeks in chronic epididymitis, and can include doxycycline and ciprofloxacin.
- pain medication, which can be available over-the-counter (ibuprofen) or can require a prescription (codeine or morphine
- Mkuu kwa dawa za ospitali maradhi yako utaapta nafuu sio kupona kabisa sio rahis kw ahayo maradhi uliyokuwa nayo .Ila kwa dawa za asili ukitumia unaweza kupona maradhi yako.
Hujapata Dawa za Asili zenye kutibu hayo maradhi yako ungelipata dawa za asili zenyewe ungeshapona zamani.Za asili nimetumia nyingi sana ila bado.
Siku nikiitwa mpendwa natembea kutoka Dar hadi Mwanza kwa miguu!🚶♂️🚶♂️🚶♂️Wanakuja mpendwa wangu
😀😀😀 Mpendwa wanguSiku nikiitwa mpendwa natembea kutoka Dar hadi Mwanza kwa miguu!🚶♂️🚶♂️🚶♂️
🏃♂️🏃♂️🏃♂️😀😀😀 Mpendwa wangu
Common treatments include:
- antibiotics, which are administered for 4 to 6 weeks in chronic epididymitis, and can include doxycycline and ciprofloxacin.
- pain medication, which can be available over-the-counter (ibuprofen) or can require a prescription (codeine or morphine
- Mkuu kwa dawa za ospitali maradhi yako utaapta nafuu sio kupona kabisa sio rahis kw ahayo maradhi uliyokuwa nayo .Ila kwa dawa za asili ukitumia unaweza kupona maradhi yako.
Tangazo lipi?Umelipia tangazo Mkuu ??
Epididymitis zimevimbaa sababu hupugii mitiii achaa uzembeeeee
Tangazo lipi?
Sijaweka Tangazo la dawa za mitishamba mimi unaota nini?Nimetoa ushauri wa kutumia dawa za asili sijamwambia anitafute mimi Kiswahili lugha yako je unakijuwa kiswahili vizuri?Hilo tangazo lako la miti shamba
Habari ya siku.
Samahani sana, nini Treatment ya "Chronic Epididymitis"? Antibiotics zipi au combination ipi ya dawa inaweza kumaliza hilo Tatizo
Niliwahi kwenda Hospitali.. baada ya kueleza tatizo langu nikajulishwa ni "epididymitis"..Hellow Mkuu.
Ni dalili zipi zimekufanya ujue una Chronic Epididymitis?
Hii ni diagnosis yako au umepatiwa na daktrari?
umeshatumia matibabu yapi?
Kumbuka: Kutumia antibiotics kiholela inaleta usugu wa dawa!