TRC Yaongeza Usalama SGR kwa Laser

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
553
Reaction score
517
TRC Yaimarisha Usalama wa SGR kwa Teknolojia ya Laser

Shirika la Reli Tanzania (TRC) limeongeza uwezo wa usalama wa reli ya kisasa (SGR) baada ya kununua magari mawili maalum yenye mifumo ya kisasa ya laser kwa ajili ya kubaini hitilafu na vihatarishi katika vipande vya 1 na 2. Teknolojia hiyo itawezesha ufuatiliaji na utatuzi wa changamoto kwa haraka na usahihi zaidi, hivyo kusaidia kuzuia ajali na kuimarisha usalama wa huduma za reli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…