Tanzania Railways Corp Govt Institution Joined Mar 23, 2018 Posts 292 Reaction score 690 Jun 17, 2022 #1 Soma pia: Uzi mkuu unaoonesha yaliyojiri kwenye mradi wa SGR tangu kuanza kwake mpaka mradi ulipofikia hivi sasa
Soma pia: Uzi mkuu unaoonesha yaliyojiri kwenye mradi wa SGR tangu kuanza kwake mpaka mradi ulipofikia hivi sasa
mkupuo JF-Expert Member Joined Apr 6, 2012 Posts 1,992 Reaction score 2,595 Jun 17, 2022 #2 TRC acheni maneno, wekeni muziki. Kwa mfano kila mkitaja tarehe ya kuzindua kipande cha Dar_ Moro, hamtekelezi.Tumechoka na blah blah zenu.
TRC acheni maneno, wekeni muziki. Kwa mfano kila mkitaja tarehe ya kuzindua kipande cha Dar_ Moro, hamtekelezi.Tumechoka na blah blah zenu.
residentura JF-Expert Member Joined Mar 1, 2017 Posts 10,220 Reaction score 14,938 Jun 17, 2022 #3 Majaribio ya kipande cha Dar - Moro yameanza!!??? Kama hayajaanza,mnategemea kuanza lini!!??