Travel Tanzania: Share a Picture of anywhere you are now or Were Today

IMG_5696.JPG
Mkokotoni znz
 
Kingdom of Lesotho besi dei.
20200628_150523.jpg
 
Attachments

  • 20200628_151112.mp4
    20.1 MB
I wish nifike Zanzibar

Sent using Jamii Forums mobile app

Inshaallah, ni sehem nzuri ila maisha kwa ujumla yapo juu. Tuliozoea kuzurura bara Lodge ya 30/40k iko poa sana,?hali ni tofauti kabisa upande huo pili wa Nchi yetu. Zile G/house za 15k bara huko ndo utazipata kwa 30-40k!. Ila ukishaenda mara 2au 3 wanakuonea aibu waweza pata Home stay room kwa 30k chumba kinachokidhi. Maeneo ya kutembelea mazuri ni Stone town- Tobo la kwanza hadi nne, Forodhani jioni na usiku,Darajani pia sio pabaya hasa kama wapenda Halua utaipata ya Moto kabisa pale kwa Bakhressa. Prison Island ipo karibu pia na hapo Bandarini.Nungwi ipo 60-65kms kutoka Stone town, kama una uwezo wa Private hire zipo au Nenda Darajani Panda Rout no 116 kwa 2300/- utafika. Ukiwa nungwi nakushauri anzia Mnarani ukawaone Kasa hata kuwashika na kupiga nao picha ruksa na hamna kiingilio kwa Mtz, ila bakshishi inapokelewa. Ukiwa mnarani utaweza kuuona ule mkondo katili (mkondo wa nungwi) uliowahi katisha maisha ya wenzetu miaka kadhaa ilopita. Ukiwa bado Nungwi waweza nenda Baraka Aquarium ukajionee Reptiles tofauti tofauti kama sio muoga wa Wale viumbe warefu watambaao. Zipo fukwe nzuri za kuogelea kuanzia Kendwa( nyuma kidogo kabla hujafika nungwi). Wale Pomboo( Dolfines )pia wanapatikana mji huo. Copacabana ya Africa utaikuta Mji uitwao Paje, kuelekea huko unaanzia pale pale Darajani, rout no nimeisahau, ila ukiwa safarini utapata fursa pia ya kuuona Msitu maarufu kwa Mbega na Ndege wa Jozani Forest. Huko zipo fukwe safi na mchanga laini kama Poda!, kama u shabiki wa Skying huko utainjoy. Wengine wajazie.5
 
Mkuu vipi Vyombo uko viko available katika izo sehemu ulizo mention ?
 
Back
Top Bottom