Steelomega
Senior Member
- Aug 22, 2020
- 125
- 144
[emoji23][emoji23][emoji23]unaongeza petrol kwenye moto
Wajumbe wananichana balaa mpaka akili imekaa sawa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hebu kwanza ni pm nikushauri jambo maana hapa nashindwa kabisa
Nakupenda pia, maana nina uhakika kabisa sijawahi kucomment sana kwenye uzi hapa Jf kama huu wako
Hatimae mmetoka hadharani , tafadhari Mswati52 endelea kuomba rehema Mungu na kwa huyu binti Maya , binti wa watu umemchanganya hajiwezi , hofu hii iliyokuingia endelea kuitamia , hata kama mkeo anakuudhi namna gani hata kama mkeo ana muuzi mama yako na dada zako , mlinde mkeo kumbuka mkeo kwanza alikufuata wewe , wewe ndie kiunganishi , kwa
Kuwa yaonyesha baba yako alitangulia , tumia nafasi yako vizuri , mali za nyumbani zisikupagawishe , mthamini mkeo , mtetee mlinde mkeo . Mkeo anakuangalia tu , usifikiri kumuongezea mke ndio utamkomoa , utakayekomoka ni wewe , huku dhambi ya kumuacha mkeo itakutafuna na huyo binti hata ukimuo nae ana dhambi ya kumsaliti mchumba wake itamtafuna na mkigombana atakuwa anamkumbu single boy wake na baadae huyu binti akishakuzoea atagundua kwako hakuwa na penzi la kweli ni alitaka security may be na umzalie mtoto ili umtunze vizuri , baadae ataanza kutafuta penza la kweli na hapo mazee , kichwa kitakupasuka and it will be too late , zaidi watoto wako kwa mkeo wa kwanza wataadhirika kisaikojia , mke wa awali utakuwa umeshamkosa huyu kigoli atakuwa hashikiki . Utabaki na
Mali zako na za kurithi utabaki ukifarijiana na ndugu zako kitu ambacho hakitakutisheza yatabaki majuto mjukuu . Msamehe mkeo kwa kukwaza wewe na familia yako ,mpende mkeo wakemee ndugu zako waambie wamuheshimi
Mkeo na kuwa radhi kukosa mali za ukoo ukaambate na mkeo na watoto wako , achana na huyo binti kuwafurahisha ndugu zako .
Nawe Maya haya mume wa mtu kaja hadharani [emoji28] anaomba michezo yenu michafu ikome , najua unaumia
Sponsor anataka kukata ufadhili , kumbuka tamaa zilimpoza fisi jikubali maisha yako wacha kujiwazia makuu kupita uhalisia wa kuweza kupata utakacho ,kumbuka maishani tunapata tunachostahili sio tunachotamanu kila mmoja ana taka maisha mazuri sana . Usiogope umri kuanza kukutupa mkono . Ni mda wako mzuri sasa kujipanga upya , na wewe mume wa mtu umeonyesha ustaarabu rudi lwa
Mkeo mkayajenge .
Ndo ushakamatika hivo, me mpiga debe wa kujitolea, teh!Hahahaah ndiyo kusema?
Mmh haya bana sistaKuwa na wanaume wawili mpaka kutangaza ndoa ni mahusiano serious aiseee.
Ni swala la hisia.
Ndo maana nikasema ni kipaji kuwa nao maana anajua kuzicontrol hisia zake.
Mimi hicho kipaji sina.
Nikikupenda utajua na kutakuwa hakuna nafasi kwa mwingine, na nisipokupenda utajua tu.
Huyo kijana ni mimi hapa pembeni mkuu nakuona tu unavyomshauri,yani unachomtaftia siku nikigundua...Wewe bana sikiliza..!
Kwanza, wengi wanaojidai kukushangaa hapa hasa wanawake, wao wenyewe wanatembea na waume za watu!!
Pili kama ulivyosema wewe, maisha ni mafupi haya, wanaosema ooh vumilia sijui usiipe nafasi furaha ya muda mfupi... wee usiwasikilize hao wana stress zao. Bora furaha ya muda mfupi kuliko kukosa kabisa furaha. Hakuna zawadi utakayopewa kwa kuishi maisha ya tabu. Maisha ni hayahaya usipoenjoy sasahivi ndio basi tena.
Ushauri: We chakufanya, olewa na hako kakijana kanakokupenda ila usiachane na yule mume wa mtu. Badala ya kufunga ndoa kisirisiri ambapo itakulazimu kuachana na yule kijana, wewe olewa na kijana huku ukiendelea kumfaidi mume wa mtu. Nina uhakika mume wa mtu hatakua na pingamizi katika hilo. Hii itakua ni win win situesheni.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nawambiaga watu Hamna limbwata kali kama PESA
Huyu dada nyie hamjamuelewa hivi unafkiri kuna mtu
anaweza mganda mwanaume mwenye shida na njaa kweli?
eti anapendwa na saivi wanajenga,blal ful umenogewa na pesa bana,
hamna kingine,eti tumepanga appartment Hebu sema kakupangia Appartment bana.
Ndo ushakamatika hivo, me mpiga debe wa kujitolea, teh!
[emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka huko chini ulivyonipa kichambo changu
Asante sana mkuu mnalitoa pepo taratibu
Fikiria wewe uolewe halafu mme wako akutelekeze wewe na wanao then aende kuoa mwingne liangalie hili kwanza,kwa nini uwe sehemu ya mateso ya mwanamke mwenzako na watoto wake?Naomba tu niseme kuna wakati kwenye maisha huwa hatutegemei baadhi ya mambo yatutokee ila inabidi tukubaliane na hali halisi
Najua humu kuna watu tunajuana nao personally kiundani sana and am sorry if my confession will dissapoint you in anyway.
Back to my story 2015 nilikutana na huyu kaka tukawa marafiki na baadae tukawa wapenzi lakini aliniambia ameoa,
kipindi hicho I was so young and naive nilikuwa chuo kwakweli nakubali nilikuwa sijielewi,mahusiano yetu tuliendelea kwa miaka miwili mpaka baadae tulipoachana kwa sababu fulani.
Kipindi tulipo achana hakuacha kunitafuta meseji za hapa na pale hapo hatukuwa tukionana.Kwakweli sijawahi kutoka na mume wa mtu zaidi ya huyu na nilijisemea sitorudia tena kwaio nilisimama kwenye huo msimamo.
Fast foward this year tulionana alikuja kikazi mji niliopo tukaanza kuwa karibu tena na kwa sasa niseme ni wapenzi tena.
Kitu kinachofanya nije hapa kuomba ushauri ni kwamba huyu bwana anataka kunioa,we have this connection ni ngumu sana kuelezea jamani hiki kitu kimeniacha njia panda,anataka tuoane na nimzalie mtoto,anataka kuja nyumbani kujitambulisha afate process zote. Plan yake tufunge ndoa kisiri mimi yeye na watu wa karibu kama familia.
The future is promising amejicomit kuhusu mambo mengi na hili linazidi kuniogopesha.
Kitu cha ajabu nimeanza kulifikiria hili jambo in a serious way maana sikuwa na mpango nae lakini huku tunapoelekea mambo yanazidi kuwa magumu. Tumepanga apartment huku tukianza ujenzi wa nyumba,na ana plan kuhamia mji niliopo na kuiacha familia yake mji mwingine
Meanwhile upande wa pili kuna kaka ambae hajaoa anataka kuja kutoa mahali,well paying job we have a connection lakini hajafika level za yule mume wa mtu.
To be honest wote wawili nawapenda,nimeshindwa kujigawa au kufanya maamuzi.
Najiuliza hivi mume wa mtu anaweza kupenda tena nje kama hivi? Wanaume mliooa natamani nipate comment zenu pia kwa experience ya haya mambo.
Am still young in my late 20’s ambitious and the future is still so promising
Ukipata nafasi ya kunishauri ungenishauri nini?
Unaweza kuniita majina yote lakini ni maoni yako nitayapokea
PS: Huyu mume wa mtu sijatumia nguvu yoyote juu yake ni maamuzi yake ya hiari na akili zake timamu
Update
Japo nashambuliwa lakini nawashukuru mnaniongezea nguvu ya kufanya maamuzi although yanauma.Nyie nipeni ukweli tu ukweli ni dawa itakayo niponya
So far naona kuna dalili ya kumtumia huyu mume wa mtu since anataka mwenyewe why not,hii sio final ila kutokana na ushauri ninaona nipite namna hio
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nawambiaga watu Hamna limbwata kali kama PESA
Huyu dada nyie hamjamuelewa hivi unafkiri kuna mtu
anaweza mganda mwanaume mwenye shida na njaa kweli?
eti anapendwa na saivi wanajenga,blal ful umenogewa na pesa bana,
hamna kingine,eti tumepanga appartment Hebu sema kakupangia Appartment bana.
Apeche alolo hapooo umeniacha leo... (kwako mwl.kashasha)Utawaweza watu; kujilisha tu ujinga. Ooh mwanaume kamili mwenye pesa na nguvu blah blah blah; basi utadhani wana pesa kweli na hizo nguvu, kumbe apeche alolo
Hapo kwenye kubanana tu ndo umeniacha hoi [emoji2][emoji2]tatzo letu wadada tunapenda mitelemko ambayo baadae tunaenda kupat ajali yaan eti mtu anasema kbsa yupo mkaka ambaye ajaoa na yeye anampenda lkn still anataka hyo mume wa mtu hahaha dada Maya Angelou tafuta ubavu wako dada anajua kuupata ni kazi yaan ile kuchambua chmbua mpk kuufikia inachukua muda kweli ila achana na mwenye ubavu wake mungu aliumba watu wawili tu wa watu hakumuweka na wewe angalia wako dyaKwanini iwe ndoa ya siri? Kama anakupenda na anataka kukuwowa amjuze bi.mkubwa ili ajiandae kisaikolojia kuletewa bi.mdogo.
Yanini kubanana kwa mwanaume mmoja ilhali kuna kaka hapo yupo huru kabisa na nia kashatangaza?