Kasome Business Administration in (General) au specialize kwenye logistics management nadhani Chuo cha Mzumbe wanayo au Transport and logistic Mng ya NIT..ila kwa high school soma EGM, HGE, ECA, na PCM hz Comb ndo zitakuwezesha kuja kusoma hz program kwa urahisi kidogo ukifika chuo, tofauti na ukiwa umesoma HKL, HGL au HGK, manake ni kozi zinazohitaji uwe na idea ya Hesabu, Economics au Accounting