Transofoma ya tanesco yatolewa bila kibali bandarini!!!

Transofoma ya tanesco yatolewa bila kibali bandarini!!!

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,775
Reaction score
37,960
Katika swala linaloonyesha kuna kazi kubwa serikalini...transfoma moja iliokuwa kwenye gari ndogo ikiwa na tan 42 imeshidwa kusafirishwa baada ya kukamatwa na wakala wa barabara na kukutwa gari iliochukua imezidiwazaidi ya tan 32,...na tulipowa uliza kuhusu kibali cha kusafiri walishindwa kujibu kabla ya kusema awana kitu kama hicho nanukuu...baada ya hapo iliamriwa gari hiyo irudishwe dar kwenye yard na kudaiwa doller laki moja(100,000usd)
na kurakiwa kuwa na gari lenye uwezo wa kupeleka likiwa na kibali kutoka serikalini!!!aiwezekani mzigo mkubwa kama huu unatolewa bandarini bila kibali alihamaki mkurugenzi wa barabara!!!!

Mama Badru upo??Holela holela ama shortcut azipo siku hizi kila kitu twende sawa haya usd hizo..
 
Back
Top Bottom