Lauma Raj Senior Member Joined Sep 3, 2014 Posts 129 Reaction score 14 Aug 31, 2018 #1 Habarini wana Jf, na poleni na majukumu ya kila siku, naomba kufahamu, nimedownload kitabu kwenye simu yangu na nilikuwa nauliza kuna app inayotafsiri kitabu kama vile inavyofanya Google Translate?
Habarini wana Jf, na poleni na majukumu ya kila siku, naomba kufahamu, nimedownload kitabu kwenye simu yangu na nilikuwa nauliza kuna app inayotafsiri kitabu kama vile inavyofanya Google Translate?